Je, WanaDRC wamtumainie Rais Tshisekedi kwenye hili?

Je, WanaDRC wamtumainie Rais Tshisekedi kwenye hili?

The Sheriff

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2019
Posts
747
Reaction score
2,112
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Tshisekedi amehidi wananchi wake kuwa yuko tayari kupambana dhidi ya umaskini uliokithiri nchini humo.

Rais Tshisekedi ameahidi kuwaondoa raia milioni 20 wa Congo kutoka kwenye umaskini au umaskini uliokithiri katika miaka mitano ijayo na kwamba atajaribu kuboresha miundombinu kwa raia hao na huduma za kijamii na kiuchumi.

Je, unadhani Rais Tshisekedi, kiongozi anayedhaniwa kuwa kivuli cha mtangulizi wake, Joseph Kabila, anaweza kuleta maajabu katika mkwamuo wa kiuchumi pale Kinshasa?
 
Nia yake ni nzuri tatizo lipo katika utekelezaji hapo ndio issue maana kama kweli ni photocopy wa aliepita hapo itakua kazi lazima ategemee original
 
Back
Top Bottom