Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #241
Waarabu gani tena mkuu?Kulingana na maelezo ya waarabu wanasemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waarabu gani tena mkuu?Kulingana na maelezo ya waarabu wanasemaje?
Waarabu hawajawahi kutawala AfrikaWaarabu gani tena mkuu?
Jamaa amegoma kujibu. Kwanini usimsaidie wewe kujibu mkuu?Kabla ya demokrasia tulikuwa na mfumo gani wa utawala?
Badala ya demokrasia ungependa tuwe na mfumo gani wa utawala?
JF wajanja wengi siku hizi mkuuJamaa amegoma kujibu. Kwanini usimsaidie wewe kujibu mkuu?
Waarabi walifanya sana biashara pembezoni mwa pwani ya Afrika ya MasharikiWaarabu hawajawahi kutawala Afrika
Waarabu hawana historia kubwa sana afrika kusini mwa jangwa la saharaWaarabu gani tena mkuu?
Waarabu walifanya biashara pwani ya Afrika MasharikiWaarabu hawana historia kubwa sana afrika kusini mwa jangwa la sahara
Ndicho nimemwambia hata mimiWaarabi walifanya sana biashara pembezoni mwa pwani ya Afrika ya Mashariki
Mbona wewe bado mshamba?JF wajanja wengi siku hizi mkuu
Wewe kujiita pisi kali unajiona mjanja?Mbona wewe bado mshamba?
Waarabu wa nchi gani? Unajua middle east ni kubwa sana mkuu?Ndicho nimemwambia hata mimi
Well saidWaarabu walifanya biashara pwani ya Afrika Mashariki
Alafu wahuni wengi wamejaa CHADEMASafi sana mkuu kwa maana wahuni wangekwishaanza matusi yao hapa.
Alikuwa mstaarabu kwa kiasi fulani. Si unajua tena wapembaSeif mpinzani makini amekufa
Wapemba wanaipenda sana CCM na sio CUF tenaAlikuwa mstaarabu kwa kiasi fulani. Si unajua tena wapemba
Daaah ni shiiiidaIt's Our Turn to Eat"?
Hivi ndivyo ilivyo. Mifano iko mingi akina Polepole na Kabudi kwenye utetezi wa katiba mpya, Drs Bashiru na Kitila Mkumbo na hoja nzito wakiwa chuo, akina askofu Gwajima na Kakobe na mingine mingi.