Je, wanaharakati wa kisiasa barani Afrika wanapigania kwa dhati mabadiliko ya kidemokrasia au maslahi yao binafsi?

It's Our Turn to Eat"?
Hivi ndivyo ilivyo. Mifano iko mingi akina Polepole na Kabudi kwenye utetezi wa katiba mpya, Drs Bashiru na Kitila Mkumbo na hoja nzito wakiwa chuo, akina askofu Gwajima na Kakobe na mingine mingi.
 
Daaah ni shiiiida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…