Je, wanaharakati wa kisiasa barani Afrika wanapigania kwa dhati mabadiliko ya kidemokrasia au maslahi yao binafsi?

Aise Ghana ni nchi ya tofauti mno. Wale watu wamepiga hatua sana kwenye swala la demokrasia. Kule huruhusiwi kuvaa tishet la chama utembee barabarani kama siyo wakati wa uchaguzi. Mahakama ni huru kweli.
Kwaiyo demokrasia kwao wamekuwa super power country? Tusidanganyane demokrasia kwa nchi za afrika wachumia tumbo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…