Je, wanaharakati wa kisiasa barani Afrika wanapigania kwa dhati mabadiliko ya kidemokrasia au maslahi yao binafsi?

sisi Watanzania tunamuunga mkono Rais Magufuli kupinga ubeberu na kutetea Wanyonge.
 
Lissu alikuwa anawatetea Mabeberu bungeni waendelee kuchimba madini yetu huku Rais Magufuli akitutetea sisi wanyonge.
 
nchi hii toka mtu mweusi apewe madaraka imekuwa inatisha kwa ufisadi angalia Zimbabwe aibu tupu kwangu mie ushauri wngu ni kheri kuletewa Magavana ila kwenye swala utawala na kuongoza watu tumeferi atuwezi...
Daaah, sisi waafrika tunasikitisha sana mkuu
 
Ya Afrika hayamhusu. Watu walisha toka kwenye zama za ujinga.

i). Je, kadri demokrasia ya vyama vingi inavyozidi kuenea mataifa mbalimbali ni nani anayenufaika?
ii). Je,kwakumjua mnufaika huoni unaikanyaga ardhi yako kupigania maslahi ya taifa la wenzio?
iii). Je, kwakuujua werevu utajilazimisha kuendelea kuufanya ujinga?




MAGUFULI4LIFE.
 
aisee umetisha sana na huu uzi

mimi nadhani demokrasia sio kubadilisha viongozi kama tulivyo zoea

demokrasia iwe uwajibikaji wa kweli wa viongozi katika bara letu kama kiongozi akiongoza vizuri kukawa na umeme barabara vituo vya afya shule nzuri maji nani atakuja kulalamika huku wananchi wanapiga kazi

kule tumevunja na kukiuka mikataba yao ya kutokuwa na big manufacturing industry na sisi tukaanzisha na wananchi tuna support tutakuwa wapi?
 
Umeandika vizuri sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…