Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #121
Hakikan kwel kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakikan kwel kabisa
Sawa mkuuMkuu utafiti umefanyika, km Uchaguzi utafanyika kesho tayari Rais Magufuli anashinda kwa 99%.
Achana na CHADEMA wanatumia vibaya ruzuku ya kodi za watanzania njoo ccm kwa wapenda maendeleo.Sawa mkuu
Lissu alikuwa anawatetea Mabeberu bungeni waendelee kuchimba madini yetu huku Rais Magufuli akitutetea sisi wanyonge.Do African Political Activists sincerely fight for Democratic Change or they simply keep alive a well-known old saying that "It's Our Turn to Eat"?
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya cold war, jeshi na ujasusi wa KGB, CIA na Mossad. Ngoja leo tujadili kidogo changamoto za maisha katika jamii tunamoishi.
Ndugu zangu wa Tanzania;
Katika msimu wa joto wa mnamo mwaka 2009, aliyekuwa Rais wa Marekani bwana Barack Hussein Obama alisafiri kwenda nchini Ghana, kama kituo chake cha mwisho wa safari yake ya kwanza ya kimataifa kama Rais, na kutoa hotuba yake katika bunge la nchi hiyo katika jiji la Accra. Katika hotuba yake, alijadili uhusiano wa taifa lake na Afrika, na ushirikiano uliohitajika kuhakikisha mabadiliko katika bara zima.
View attachment 1539363
Alipokuwa jijini Accra, Rais alizungumzia juu ya mada (maudhui) nne ambazo alisema ni muhimu kwa mustakabali mwema wa bara hili la Afrika - demokrasia, fursa, afya, na utatuzi wa migogoro kwa njia za amani. Rais Obama alitoa hotuba yake ya kwanza ya sera za USA juu ya bara la Afrika akiwa katika taifa mwenyeji ambalo linanafasi ndogo sana kiuchumi au kisiasa kulinganisha na mataifa yenye nguvu zaidi kama Afrika Kusini na Misri.
View attachment 1539364
Hata miongoni mwa watu wa Ghana, uchaguzi wa nchi sahihi kwa Obama umesababisha ukakasi Kwanini aende Ghana? Baadhi ya Wachambuzi wa msauala ya kisiasa walisema mpangilio wa mazignira wenyewe unasaidia kukiri mafanikio ya kisiasa na kidemokrasia ya Ghana. Inaonekana alichagua Ghana kwa alama yake ya kisiasa.
Alifanya ziara yake ya kwanza kwa nchi ambayo imekuwa na mabadiliko ya kidemokrasia ambayo kiongozi wa upinzani bwana John Atta Mills kutoka chama cha National Democratic Congress alishinda dhidi ya a Rais wa wakati huo ndugu John Kufuor wa chama cha New Patriotic Party. Huo ni ujumbe wenye nguvu sana kwa jamii zingine za Kiafrika, na kwa viongozi wengine wa Kiafrika.
View attachment 1539367
HAYA NI MANENO MACHACHE YA RAIS OBAMA ALIPOKUWA ANALIHUTUBIA BUNGE LA GHANA:
================
"Here in Ghana, you show us a face of Africa that is too often overlooked by a world that sees only tragedy or a need for charity. The people of Ghana have worked hard to put democracy on a firmer footing, with repeated peaceful transfers of power even in the wake of closely contested elections."
Ninaomba nisimuongelee ndugu John Evans Fiifi Atta Mills kwa maana yeye ni marehemu na kwa mila na desturi za kiafrika marehemu huwa hapaswi kusemwa vibaya.
Sasa juzi wakati ninasoma makala kadhaa hapa mtandaoni ndio nikakutana na hii scandal kubwa sana ya Airbus ya Rais John Mahama aliyechukua nafasi ya hayati John Atta Mills ambao wote walitokea chama kimoja cha kisiasa cha National Democratic Congress, ya wizi wa pesa kiasi cha £5million.
View attachment 1538177
Sasa kuanzia hapa nikajawa na maswali mengi sana kuliko majibu kwamba,
Do African Political Activists sincerely fight for Democratic Change or they simply keep alive a well-known old saying that "It's Our Turn to Eat"?
NB: Hii mada inalenga katika kuangazia mustakabali mzima wa demokrasia katika bara la Afrika, hivyo ninaomba tuepuke kabisa matusi, mabishano na malumbano ya CCM, CHADEMA, ACT-WAZALENDO, NCCR, CUF.
OUR MOTTO: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Sawa mkuu...Afrika tunashida kubwa sna ya viongozi mfano mdogo kbs naweza kutoa khs Afrika Kusini naishi nchi hii zaidi ya miaka 20
Daaah, sisi waafrika tunasikitisha sana mkuunchi hii toka mtu mweusi apewe madaraka imekuwa inatisha kwa ufisadi angalia Zimbabwe aibu tupu kwangu mie ushauri wngu ni kheri kuletewa Magavana ila kwenye swala utawala na kuongoza watu tumeferi atuwezi...
Mkuu, samahani unaweza kuweka na mfano kidogo?Nchi nyingi Africa wanasiasa bado wanafight ili waweze kujaza matumbo yao. Angalia wakosoaji wakipewa madaraka wanavyobadilika ghafla.
mfano Raila odinga alikuwa mpinzan mkuu wa utawala kenya lakn alipopewa ktu inaitwa NUSU MKATE basi kabadilika kabisa. saiz unasikiatena nyimbo za Kufika Caanan walizokuwa wakiimba 2017?Mkuu, samahani unaweza kuweka na mfano kidogo?
Okay...mfano Raila odinga alikuwa mpinzan mkuu wa utawala kenya lakn alipopewa ktu inaitwa NUSU MKATE basi kabadilika kabisa.
Upo sahihi mkuu, hawaimbi tena zile nyimbo kwa sasa aisee.saiz unasikiatena nyimbo za Kufika Caanan walizokuwa wakiimba 2017?
Asante mkuu...aisee umetisha sana na huu uzi
Umeandika vizuri sana mkuumimi nadhani demokrasia sio kubadilisha viongozi kama tulivyo zoea
demokrasia iwe uwajibikaji wa kweli wa viongozi katika bara letu kama kiongozi akiongoza vizuri kukawa na umeme barabara vituo vya afya shule nzuri maji nani atakuja kulalamika huku wananchi wanapiga kazi
kule tumevunja na kukiuka mikataba yao ya kutokuwa na big manufacturing industry na sisi tukaanzisha na wananchi tuna support tutakuwa wapi?
ahsante sana kakaUmeandika vizuri sana mkuu