Je, wanaharakati wa kisiasa barani Afrika wanapigania kwa dhati mabadiliko ya kidemokrasia au maslahi yao binafsi?

Nchi nyingi Africa wana siasa bado wanafight ili waweze kujaza matumbo yao. Angalia wakosoaji wakipewa madaraka wanavyobadilika ghafla.
Hilo la kubadilika ghafla wakishapata madaraka ndiyo point, ila kujaza matumbo hakuna kazi isiyo na malipo hata padri kanisani anafanya kazi ili ale aishi ajenge nyumba apate mshahara siyo kumtumikia Mungu tu, na daktari vile vile hafanyi kazi ili aokoe maisha ya wagonjwa tu
 
Hilo la kubadilika ghafla wakishapata madaraka ndiyo point, ila kujaza matumbo hakuna kazi isiyo na malipo hata padri kanisani anafanya kazi ili ale aishi ajenge nyumba apate mshahara siyo kumtumikia Mungu tu
Okay...
 
Mm huwa nalichukia hili neno DEMOKRASIA

maana ni uhuni mtupu
 
Ya Afrika hayamhusu. Watu walisha toka kwenye zama za ujinga.

i). Je, kadri demokrasia ya vyama vingi inavyozidi kuenea mataifa mbalimbali ni nani anayenufaika?
Safi sana mkuu. Lakini umesema "Ya Afrika hayamhusu" nani unamuongelea hapa mkuu?...
 
Sasa wao wanahubiri demokrasia wakati katiba zetu zimejaa makandokando mengi.

Hivyo wengi wao wanatimiza wajibu tu ili wapate ruzuku hakuna mwenye nia ya dhati ya kusaidia raia.
Okay...
 
Ukitaka kujua pia hawa viongozi wapo kimasilahi jaribu kufuatilia katiba za vyama vyao vya siasa.

Katiba zao hazina tofauti na katiba ya nchi zimempa mamlaka makubwa mwenyekiti.
Sawa mkuu...
 
Ili Afrika tuendelee tunahitaji kuondoa kabisa mirija ya ukoloni mamboleo. Hii itawezekana tu iwapo baadhi ya vifungu vya katiba za nchi wanachama wa AU vitabadilishwa ili kutoa nafasi kwa wapinzani kuwa sehemu ya tawala.
Bila shaka una maanisha serikali ya mseto? Eti mkuu?
 
kwa vyovyote vile jibu litakavyokuwa je ni kwa namna gani jamii inashiriki katika siasa za Africa na kwa mantiki hiyo kuwa na uhitaji wa vuguvugu la kuleta demokrasia?

je ushiriki wa jamii ya Africa katika siasa za mataifa yao baada ya uhuru upoje?
Sawa sawa mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…