akajasembamba
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 1,179
- 1,794
Hilo la kubadilika ghafla wakishapata madaraka ndiyo point, ila kujaza matumbo hakuna kazi isiyo na malipo hata padri kanisani anafanya kazi ili ale aishi ajenge nyumba apate mshahara siyo kumtumikia Mungu tu, na daktari vile vile hafanyi kazi ili aokoe maisha ya wagonjwa tuNchi nyingi Africa wana siasa bado wanafight ili waweze kujaza matumbo yao. Angalia wakosoaji wakipewa madaraka wanavyobadilika ghafla.