Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #161
Mkuu, unajua sana kufafanua na mtu akakuelewa. Congrats...e ushiriki wa jamii ya Africa katika siasa za mataifa yao baada ya uhuru upoje?
Nionavyo mimi vuguvugu la demokrasia ya kweli lilifanyika wakati wa kupigania uhuru baada ya hapo wanasiasa wa Africa waliiondoa jamii katika mfumo rasmi wa kuamua hatima yao ya kisiasa badala yake wakaua ushiriki wa jamii katika siasa bali kiini macho tu.
Mkuu, nimesikia kuna chama cha kisiasa kimeamua kupeleka wabunge wa viti maalum baada ya kugoma kwa kipindi kirefu...kuibuka kwa wanaharakati wa kisiasa kunaweza kukawa na hitaji la kupata demokrasia ya kweli kutoka kwenye siasa kiini macho baada ya uhuru sasa katika harakati hizo si wanasiasa wote watakuwa na lengo zuri ukizingatia pia baada ya uhuru siasa zetu zilitengeneza mifumo ya kutengeneza madaraja kati ya watawala na watawaliwa na watawala kujipa daraja la mtu zaidi kuliko watawaliwa.
AsanteOn point
Hii hoja yako imeshiba sana mkuu...In our country Tanzania we must affirm that a nation cannot be built without the popular support and full participation of the people, nor can the economic crisis be resolved and the human and economic conditions improved without the full and effective contribution, creativity, and popular enthusiasm of the vast majority of the people.
Daaah hii inasikitisha sana ndugu yangu...Malawi inajibu maswali yako vizuri. Juzi tu Rais wao mpya kashangiliwa kama mkombozi, kesho yake kaingia na utitiri wa ndugu zake Serikalini.
Siwezi kulijadili hili kwa sasa mpaka nitakaposikia taarifa rasmi ya chama juu ya kupeleka viti hivyo.Mkuu, nimesikia kuna chama cha kisiasa kimeamua kupeleka wabunge wa viti maalum baada ya kugoma kwa kipindi kirefu...
Mkuu, kwani kuna mtu ambaye hapendi kula au kujali familia yake? Au ulichokuwa una maanisha wewe ni kwamba wanapigania maslahi yao kwa "kudanganya na kupitia mgongo" wa democracy?...afrika n matumbo tu ndo nimeyaona mi naona wanasiasa wa kweli walikuwepo kipind cha kupigania Uhuru basi baada ya hapo n kujali mitumbo yao na familia zao
Nlichokuwa nakiimaanisha ni hicho cha sentensi tano za mwisho ulizosema mkuuMkuu, kwani kuna mtu ambaye hapendi kula au kujali familia yake? Au ulichokuwa una maanisha wewe ni kwamba wanapigania maslahi yao kwa "kudanganya na kupitia mgongo" wa democracy?...
Sawa kaka mkubwaNlichokuwa nakiimaanisha ni hicho cha sentensi tano za mwisho ulizosema mkuu
Sawa ndugu yanguSiwezi kulijadili hili kwa sasa mpaka nitakaposikia taarifa rasmi ya chama juu ya kupeleka viti hivyo.
Itakuwa mbaya zaidi kama hao ndugu zake watakuwa hawana kabisa sifa stahiki za kuwa viongozi huko serikaliniSasa sijui ni kwa ajili ya maendeleo ya nchi au ndio wamekuja na njaa kama fisi aliyetoka kuzaa.
Umeandika kwa hisia sana ndugu yangu. Nimekuelewa kaka mkubwa.shida iliyo kubwa au tuseme kirusi kinachotumaliza ni kwa hatujajielewa bado na hatuko tayari kujielewa kabisa tutakufa na stress tu ndo mana wengine wamekaa pembeni tu
Binadamu wa kisasa anatakiwa kuongozwa na mfumo au taasisi yenye misingj bora ya katiba au taratibu fulani. Mambo ya kuongozwa na nguvu ya mtu sio. Ona Wamarekani wenyewe wameponea chupuchupu na Trump wao baada ya kuwa na mifumo imara. Asingetoka yule.Ombi langu ni moja tu, Ifike mahali wote tusiwe mashabiki wa vyama, badala yake tuwe mashabiki wa mtu mwenye uwezo wa kutuvusha kama nchi
Haiwezekani eti Chama kiweke kisiki, eti tu kwa sababu ya uvyama tunakichagua na kuacha mtu makini ambaye Yuko upande mwingine
2025, kibwagizo kitakuwa, chagua mtu makini usichague chama
pesa pesa peeeesaaaaaBinadamu wa kisasa anatakiwa kuongozwa na mfumo au taasisi yenye misingj bora ya katiba au taratibu fulani. Mambo ya kuongozwa na nguvu ya mtu sio. Ona Wamarekani wenyewe wameponea chupuchupu na Trump wao baada ya kuwa na mifumo imara. Asingetoka yule.
Sio kabisa mkuu. Idd Amin na Mobutu wa Zaire alitumia vibaya sana mamlaka zao kwa sababu nchi zao hazikuwa na taasisi imara...Binadamu wa kisasa anatakiwa kuongozwa na mfumo au taasisi yenye misingj bora ya katiba au taratibu fulani. Mambo ya kuongozwa na nguvu ya mtu sio.
Mpaka sasa Trump bado hajakabidhi ofisi kwa BidenBinadamu wa kisasa anatakiwa kuongozwa na mfumo au taasisi yenye misingj bora ya katiba au taratibu fulani. Mambo ya kuongozwa na nguvu ya mtu sio. Ona Wamarekani wenyewe wameponea chupuchupu na Trump wao baada ya kuwa na mifumo imara. Asingetoka yule.