Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #161
Mkuu, unajua sana kufafanua na mtu akakuelewa. Congrats...e ushiriki wa jamii ya Africa katika siasa za mataifa yao baada ya uhuru upoje?
Nionavyo mimi vuguvugu la demokrasia ya kweli lilifanyika wakati wa kupigania uhuru baada ya hapo wanasiasa wa Africa waliiondoa jamii katika mfumo rasmi wa kuamua hatima yao ya kisiasa badala yake wakaua ushiriki wa jamii katika siasa bali kiini macho tu.