Je, wanaharakati wa kisiasa barani Afrika wanapigania kwa dhati mabadiliko ya kidemokrasia au maslahi yao binafsi?

Je, wanaharakati wa kisiasa barani Afrika wanapigania kwa dhati mabadiliko ya kidemokrasia au maslahi yao binafsi?

Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya cold war, jeshi na ujasusi wa KGB, CIA na Mossad. Ngoja leo tujadili kidogo changamoto za maisha katika jamii tunamoishi.
Yes. We can't be serious all the time
 
Mkuu Infantry Soldier kwanza tunapaswa kujiuliza je vuguvugu la kutafuta demokrasia barani Africa ni zao la jamii ya Africa yenyewe au ni zao la jamii nyingine tusioijua?

kwa vyovyote vile jibu litakavyokuwa je ni kwa namna gani jamii inashiriki katika siasa za Africa na kwa mantiki hiyo kuwa na uhitaji wa vuguvugu la kuleta demokrasia?

je ushiriki wa jamii ya Africa katika siasa za mataifa yao baada ya uhuru upoje?

Nionavyo mimi vuguvugu la demokrasia ya kweli lilifanyika wakati wa kupigania uhuru baada ya hapo wanasiasa wa Africa waliiondoa jamii katika mfumo rasmi wa kuamua hatima yao ya kisiasa badala yake wakaua ushiriki wa jamii katika siasa bali kiini macho tu.

kuibuka kwa wanaharakati wa kisiasa kunaweza kukawa na hitaji la kupata demokrasia ya kweli kutoka kwenye siasa kiini macho baada ya uhuru sasa katika harakati hizo si wanasiasa wote watakuwa na lengo zuri ukizingatia pia baada ya uhuru siasa zetu zilitengeneza mifumo ya kutengeneza madaraja kati ya watawala na watawaliwa na watawala kujipa daraja la mtu zaidi kuliko watawaliwa.

Afrika iko kwenye renaissance hivyo miaka kumi ijayo tutakuwa na jamii yenye siasa zilizostaarabika zaidi kama walivyofikia wenzetu BOTSWANA na GHANA.
 
Hii ziara ninaikumbuka vizuri sana. Nilikuwa katika mkutano wa kikazi nchini Sierra-Leone.
 
How? Kama utatoa ufafanuzi kidogo itafaa sana.

One set of doubts stemmed from the absence of structural “requisites” observed in established democracies. A key premise here was that democratization has historically been part of a broader social transformation—encompassing processes like industrialization, mass education, the ascendancy of a large middle class, and at least a clear sense of national identity.

Many African countries remain at low levels of socioeconomic development and are highly ethnically fragmented, raising concerns about the structural bases for stable democracy.

A related set of doubts sprang from the perception that Africa's political transition was externally driven, while questioning post-Cold War faith in the inherent compatibility of markets and democracy.

Democratization seemed likely to have the effect of empowering the opponents of market-oriented policies, while successful market reform would require benevolent “developmental states” insulated from the cut and thrust of democratic politics
 
Back
Top Bottom