Je, wanaharakati wa kisiasa barani Afrika wanapigania kwa dhati mabadiliko ya kidemokrasia au maslahi yao binafsi?

Je, wanaharakati wa kisiasa barani Afrika wanapigania kwa dhati mabadiliko ya kidemokrasia au maslahi yao binafsi?

Mada nzuri kbs naomba univumilie mie sio muandishi mzuri sna. Afrika tunashida kubwa sna ya viongozi mfano mdogo kbs naweza kutoa khs Afrika Kusini naishi nchi hii zaidi ya miaka 20 nchi hii toka mtu mweusi apewe madaraka imekuwa inatisha kwa ufisadi angalia Zimbabwe aibu tupu kwangu mie ushauri wngu ni kheri kuletewa Magavana ila kwenye swala utawala na kuongoza watu tumeferi atuwezi...

Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom