KazinjaTwo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2021
- 330
- 333
Bila kushauriana ni rahisi ndugu kupoteza dira ya maisha. Kama hataki achana naye tu mkuuSio kuingiliana lakini kushauriana ni muhimu sana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila kushauriana ni rahisi ndugu kupoteza dira ya maisha. Kama hataki achana naye tu mkuuSio kuingiliana lakini kushauriana ni muhimu sana mkuu
Akipoteza dira yeye kwani wewe unapungukiwa na nini?Bila kushauriana ni rahisi ndugu kupoteza dira ya maisha. Kama hataki achana naye tu mkuu
Ndio hapo sasaAkipoteza dira yeye kwani wewe unapungukiwa na nini?
Naona umeweka avatar ya mwamakulaNdio hapo sasa
Ninasali katika kanisa lakeNaona umeweka avatar ya mwamakula
Unajua mkuu JF ni sehemu ya kujifunza na sio kupangiana maisha.Ndio hapo sasa
Kuachana naye si ndio atapotea mazima? Bora kwenda naye tu mdogo mdogo mwisho wa siku ataelewa somoBila kushauriana ni rahisi ndugu kupoteza dira ya maisha. Kama hataki achana naye tu mkuu
Naona unatafuta beef na mimiKwanini unasema mwenzio hana malengo hapa duniani?
Malengo yangu mimi yanakuhusu nini wewe?Kuwa na malengo ni jambo la maana sana mkuu
Ninaweza kukusaidia kuyafanikishaMalengo yangu mimi yanakuhusu nini wewe?
Vp kuhusu Lissu?Sio kuingiliana lakini kushauriana ni muhimu sana mkuu
Ukipenda kunishirikisha nitakusaidia katika kuyatimizaMimi nina malengo kama 17 hivi mwaka huu
Kwanini usifanye mambo yako ukaachana na ya watu wengine?Ukipenda kunishirikisha nitakusaidia katika kuyatimiza
Mambo ya watu wengine kama yanawaathiri baadhi ni lazima sisi kama jamii tutaingiliaKwanini usifanye mambo yako ukaachana na ya watu wengine?
Wachumia tumbo ni wengi saaana aisee. Jaribu kuangalia nchi jirani watu walivyokuwa wanauana kisa maslahi ya kisiasa.Kwaiyo demokrasia kwao wamekuwa super power country? Tusidanganyane demokrasia kwa nchi za afrika wachumia tumbo tu.
Kweli kabisa mkuu.Wachumia tumbo ni wengi saaana aisee. Jaribu kuangalia nchi jirani watu walivyokuwa wanauana kisa maslahi ya kisiasa.
Kenya waliuana sana mwaka 2007 kisa Kibaki na Raila Odinga.Wachumia tumbo ni wengi saaana aisee. Jaribu kuangalia nchi jirani watu walivyokuwa wanauana kisa maslahi ya kisiasa.
Leo hii wao wanakula maisha na Kibaki wake ila ndugu wa marehemu bado wanateseka na ufukara.Kenya waliuana sana mwaka 2007 kisa Kibaki na Raila Odinga.
Rais mstaafu Kibaki naye amefariki mwaka huu wa 2022Leo hii wao wanakula maisha na Kibaki wake ila ndugu wa marehemu bado wanateseka na ufukara.
William Rutto ndiye Rais wa sasa wa KenyaKenya waliuana sana mwaka 2007 kisa Kibaki na Raila Odinga.