Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Habarini Za Humu,
Binafsi nina muda mrefu kidogo tangu nijiunge na mtandao huu na kwa sababu hiyo ninafahamu angalau tabia na misimamo ya watu wengi humu.
Kwa survey ya haraka haraka humu ndani kunaonekana pamejaa kundi kubwa sana la watu waliokata tamaa na maisha - desperate people. Yawezekana labda binadamu wengi aina ya choleric - hawa ni aina ya watu akili ndogo,wakatili na wivu sana na mafanikio ya wengine, ndio waliojaa humu.
Silaha kubwa humu ni ubingwa wa kuporomosha matusi, kejeli,ujuvi wa kila jambo na mengine kama hayo - yaani kila jambo humu lazima litaangaliwa aidha kwa jicho la kisiasa au kidini. Inavyoonekana watu wengi maisha magumu au mambo yao ya deal hayaendi na sehemu pekee ya kuporomoshea matusi ni humu ndani.
watu wengi humu ndani ya jf wanahitaji msaada mkubwa sana wa kisaikolojia hawako sawa