Je wananchi tuna uelewa wa kutosha juu ya Homa ya nyani (Monkey pox)?Je wizara ya Afya ikishirikiana na wadau wa sekta ya afya wanatoa elimu stahiki?

Mkono Mmoja

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2019
Posts
3,359
Reaction score
6,568
Salam.

Dunia ikiwa imetoka kushuhudia gonjwa hatari ya homa ya COVID -19 sasa hivi kumezuka tena ugonjwa hatari wa wa homa ya nyani (Monkey Pox)!

Ombi langu kwa serikali kupitia wizara ya Afya kuendeleza juhudi za kutoa elimu kupitia vyombo vya habari kuhusiana na huu ugonjwa ambao wengi wetu hatuna ufahamu mzuri jinsi gani unaambukizwa, dalili zake na jinsi gani tunatakiwa kujikinga juu ya huu ugonjwa.

Soma Pia: Ifahamu homa ya nyani ama kwa kiingereza monkey pox

Mpaka sasa umeshapiga hodi nchini Congo (DRC) na Uganda ambapo tuna muingiliano nao sana hasa kupitia mipakani .

Tusichukulie poa ugonjwa upo na unaambukiza , tujiepushe kusalimiana kwa kupeana mikono au kugusana gusana ovyo.
 
Ahsante kwa elimu.
 
Back
Top Bottom