Mimi kama Kolombwee ushindi huu sijafurahia kabisa.Hii kweli aibu mkuu
Unasikilizia maumivu ukiwa wapi?Mimi kama mdau wa soka na shabiki ndaki ndaki wa Simba (makolo in prular form) natumia pale makolo wenzangu wanapofurahia ushindi wa kubebwa na refa.
Tunazidi kuiharibu timu yetu .. imagine Jana tumeingiza Hadi nyota wa kimataifa, wachezaji wenye mvi, bado tukabebwa na refa lakini bado tume hustle kushinda.
NB: Bora hata wenzetu Yanga walipeleka kikosi C & D na mwakani naskia kwenye mapinduzi Yanga watapeleka Yanga princess.
Inasikitisha mkuu ...bila refa Simba sio kitu
Hiyo ni point ila acha kwanza tufurahie ushindi na kombe tayari tunachukua..Tushinikizw uongozi ulete quality players
Kwa Simba hii .... mechi za mikoani wajiandae[emoji23]Mimi kama Kolombwee ushindi huu sijafurahia kabisa.
Sababu bila refa kutubeba ilikua tusha dhalilishwa.
Kwa timu hii tutaendelea kupigwa goli tano na mabingwa wa kihistoria mpaka tupatwe na kichefu chefu.
Mmechanganyikiwa, mmeshindwa kujua wa kumlalamikia ni Simba, refa au KagereMimi kama mdau wa soka na shabiki ndaki ndaki wa Simba (makolo in prular form) natumia pale makolo wenzangu wanapofurahia ushindi wa kubebwa na refa.
Tunazidi kuiharibu timu yetu .. imagine Jana tumeingiza Hadi nyota wa kimataifa, wachezaji wenye mvi, bado tukabebwa na refa lakini bado tume hustle kushinda.
NB: Bora hata wenzetu Yanga walipeleka kikosi C & D na mwakani naskia kwenye mapinduzi Yanga watapeleka Yanga princess.
Wapi mkuuMkuu mbona jana ulipotea ghafla wakati tulikuwa tunaenda vizuri tu na updates? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2868145
Msingetukimbia Zanzibar, ila hata hivo hamjatukimbia uwezo wenu mdogoMatokeo yake tukikutana na Yanga ...tunakandwa Tena....5 [emoji113]
Mwakani naskia Yanga watapeleka Yanga princess [emoji23]Msingetukimbia Zanzibar, ila hata hivo hamjatukimbia uwezo wenu mdogo
Sent using Jamii Forums mobile app