Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Yaani tangu walipowakimbia Uto kule zenji wana shida kwa kweli 😂 😂Timu yetu kolo Kuna shida mahali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani tangu walipowakimbia Uto kule zenji wana shida kwa kweli 😂 😂Timu yetu kolo Kuna shida mahali
Mimi kama mdau wa soka na shabiki ndaki ndaki wa Simba (makolo in prular form) natumia pale makolo wenzangu wanapofurahia ushindi wa kubebwa na refa.
Tunazidi kuiharibu timu yetu .. imagine Jana tumeingiza Hadi nyota wa kimataifa, wachezaji wenye mvi, bado tukabebwa na refa lakini bado tume hustle kushinda.
NB: Bora hata wenzetu Yanga walipeleka kikosi C & D na mwakani naskia kwenye mapinduzi Yanga watapeleka Yanga princess.
Acha upuuzi wewe ni Yanga dam: Usiwalishe wana Simba mambo ya ajabu.Mimi kama mdau wa soka na shabiki ndaki ndaki wa Simba (makolo in prular form) natumia pale makolo wenzangu wanapofurahia ushindi wa kubebwa na refa.
Tunazidi kuiharibu timu yetu .. imagine Jana tumeingiza Hadi nyota wa kimataifa, wachezaji wenye mvi, bado tukabebwa na refa lakini bado tume hustle kushinda.
NB: Bora hata wenzetu Yanga walipeleka kikosi C & D na mwakani naskia kwenye mapinduzi Yanga watapeleka Yanga princess.
Wewe sio mdau wa soka bali ni utopolo uliyepitilizaMimi kama mdau wa soka na shabiki ndaki ndaki wa Simba (makolo in prular form) natumia pale makolo wenzangu wanapofurahia ushindi wa kubebwa na refa.
Tunazidi kuiharibu timu yetu .. imagine Jana tumeingiza Hadi nyota wa kimataifa, wachezaji wenye mvi, bado tukabebwa na refa lakini bado tume hustle kushinda.
NB: Bora hata wenzetu Yanga walipeleka kikosi C & D na mwakani naskia kwenye mapinduzi Yanga watapeleka Yanga princess.
Hii inaitwa pilipili iliyo shamba....Mkuu ..naww unafurahia ushindi huu wa mbeleko??
Kwa kubebwa huku .... usije shangaa kukandwa 5 [emoji113] na Yanga
Umesahau dkk 9 za juzi kwenue eee...Kwa kubebwa huku .... usije shangaa kukandwa 5 [emoji113] na Yanga
Refa alikubeba na ww kwny mashindano hay haya...mkubwa lazima aheshimiwe..sisi ni wakubwa..lazima tuheshimiwe kuanzia na nyasi za kiwanja...Japo mm ni mwanasimba ...ila lazima niseme ukweli... tumebebwa na refa