Je, Wanasimba tuendelee kufurahia ushindi wa mbeleko?

Kama mpira wenyewe utakuwa unachezwa na kusimamiwa namna ile ya jana, basi hakika mashindano ya Mapinduzi yanaenda kupoteza mvuto wake. APR wametoa ya oyoni na wamesema hawarudi tena.


Singida wao kwa kuwa ni Wazalendo watarudi tena vinginevyo nao wasingerudi tena. Mpira uliozaa kona na kona ikazaa goli ni mpira uliotika. Kibendera na Refarii wa kati wanatofautiana maamuzi, lkn hata picha za marejeo ni wazi mpira ule ulitoka pasi na shaka. Simba jana Imebebwa.
 
Ni aibu mkuu... that's y Yanga walipeleka kikosi C & D
 
Mimi kama mwanayanga kindakindaki a.k.a utopolo au [emoji196][emoji196][emoji196] nasema hivi Simba wamebebwa inabidi sisi wanauto tuungane pamoja tuuchomoe ule mwiko kule nyuma na tuwapige nao ili waanguke wasibebwe tena.
Sahihi Mkuu...Simba iombe radhi
 
Sana mkuu bila refa Yanga S ingefunga penati zote na Simba wangetolewa kwa hiyo mikwaju [emoji57]
Yanga walishajua kuwa hayo mashindano ni ya mchongo that's y walipeleka kikosi C & D
 
Mimi kama Kolombwee ushindi huu sijafurahia kabisa.
Sababu bila refa kutubeba ilikua tusha dhalilishwa.
Kwa timu hii tutaendelea kupigwa goli tano na mabingwa wa kihistoria mpaka tupatwe na kichefu chefu.
Eeeh kweli, raja pia tulibebwa, ngoja tuone mechi ijayo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…