Je Wanaume mpo tayari kufanyiwa vasectomy kuwasaidia wake zenu kutopata mimba?

Je Wanaume mpo tayari kufanyiwa vasectomy kuwasaidia wake zenu kutopata mimba?

Ricky Blair

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
463
Reaction score
1,009
Wanaume je mpo tayari kufanyiwa vasectomy kuwasaidia wake zenu kutopata mimba na kuzaa tena au kuitoa km mna watoto tayari katika mipango yenu?
 
A vasectomy is a surgical procedure that prevents sperm from entering semen, making it a form of male birth control. It's a permanent procedure that's often performed as a means of contraception.


Hapana aisee
 
Ngoja kwaaanza tunasoma upepo....unaweza ukafanya hiyo Vasectomy halafu unaambiwa hata hao watoto sio wa kwako
1000019095.jpg
 
hizo ni tamaduni za kizungu za kijinga sana hata asia hawafany hio michezo .

nawakubali san wazungu ila sometimes wanazingua
 
daah maamuzi mengine magumu sana aisee acha kila mtu ashinde mechi zake
 
Mwanaume ufungwe kazazi wakati unatakiwa uendeleze kizazi duniani. Ufungwe kizazi mwanamke akikuacha bila watoto si utakuwa ni ufala, utaenda kuzaa na mwanamke gani kama huzalishi?
 
Binafsi sipo tayari

Unaweza kufanya huo upasuaji, baadaye mkagombana na Mke wako akakueleza watoto watatu kati ya wanne uliozaa naye sio wako

Si bora unaweza kuanza upya Kwa kuzaa na vibinti vya elfu 2 ukafidia palipo pungua 😜
 
wake gani unaowaonelea? awa wanaodaai talaka?
 
Kama mtu hataki kuzaa atumie kondomu tu kuliko kupasuliwa uzazi. Raha ya kujamiana umwage, ukimwaga ndani ya kondomu poa tu maana goli linatoka
 
Wakikufanyia hivyo utamu wa bao bado upo au ndio umakojowa bao hewa?
Utamu upo kwenye bao kutoka, kwahy hapo hakuna utamu mana bao halitotoka nje, ww n kupeleka moto tuu mpaka misuli ichoke iwe hoi
 
Back
Top Bottom