Je Wanaume mpo tayari kufanyiwa vasectomy kuwasaidia wake zenu kutopata mimba?

Je Wanaume mpo tayari kufanyiwa vasectomy kuwasaidia wake zenu kutopata mimba?

Lakini sii hamna kutia vidole kwa mkunduz kama vile wanavyopima tezi dume
Nani alikupima tezi dume kwa njia hiyo? Alikua na nia gani kwamba aliona akifanya Transabdominal haitoshi 🤣
Pole sana ndugu yangu ungeshenyentwa.
 
Hatamimi ningekataa😂 ,,yani nalala na janaume linakua gogo sasa woooiiii my wangu usikubaliiii huko uliko
Mashine inasimama vzr ila wazungu huwaoni labla upande pipa uende Ulaya, sasa ww baby wangu unavyopenda kuwaona wazungu wangu nikifanya hvy nitakuwa nimekudhulumu binafsi hvy siwezi kufanya hy operesheni.
 
Hahahaha 😂 😂 😂 😂 🙌🏾 🤣 😂 🙌🏾
 
Back
Top Bottom