Je Wanaume mpo tayari kufanyiwa vasectomy kuwasaidia wake zenu kutopata mimba?

Lakini sii hamna kutia vidole kwa mkunduz kama vile wanavyopima tezi dume
Nani alikupima tezi dume kwa njia hiyo? Alikua na nia gani kwamba aliona akifanya Transabdominal haitoshi ๐Ÿคฃ
Pole sana ndugu yangu ungeshenyentwa.
 
Hatamimi ningekataa๐Ÿ˜‚ ,,yani nalala na janaume linakua gogo sasa woooiiii my wangu usikubaliiii huko uliko
Mashine inasimama vzr ila wazungu huwaoni labla upande pipa uende Ulaya, sasa ww baby wangu unavyopenda kuwaona wazungu wangu nikifanya hvy nitakuwa nimekudhulumu binafsi hvy siwezi kufanya hy operesheni.
 
Hahahaha ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ ๐Ÿคฃ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ