Je, wanaume nao huingia period?

Je, wanaume nao huingia period?

MR LINKO

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Posts
3,034
Reaction score
3,526
Imezoeleka kuwa wanawake pekee ndiyo wameumbiwa kuingia period kila mwezi mara pale wanapovunja ungo, kudhihirisha kuwa sasa wako tayari kuweza kubeba ujauzito na kuzaa

images.jpeg

Lakini ni kitu cha ajabu kusikia kuwa hali hiyo hutokea kwa mwanaume. Nikujuze tu kuanzia sasa unatakiwa ufahamu kuwa hata wanaume wanaingia hedhi, lakini sio kama ile ya wanawake ambapo wao hutoka damu sehemu zake za siri (baada ya yai kutorutubishwa na kutoka).

Kwa wanaume kitendo hiki huwa tofauti kabisa. Kwa mujibu wa mtaalamu wa psychotherapist na mwandishi wa kitabu cha Male Syndrome (IMS), Jed Diamond, PhD. Diamond, amedhirisha hili na kusema kwamba wanaume nao huingia period lakini ni tofauti na ile ya wanawake.

Kwa wanaume wao hukutana na mabadiliko ya homoni za testosterone ambazo husababisha mabadiliko ya kiafya, ikiwemo kuwa na msongo wa mawazo, uchovu na kubadilika kwa hali kila mara.

Hali hii pia huwatokea wanawake pale wanapoingia hedhi na muda mwingine huwaletea maumivu makali ya tumbo kutokana na mabadiliko ya mwili katika via vyake vya uzazi, lakini kwa wanaume haina madhara makubwa na wala hawawezi kupata damu kama wanawake, zaidi ya kuhisi mabadiliko kutokana na kutotulia kwa homoni.
 
View attachment 1082461

Hawa wataalamu wengine bhana sijui huwa wana gonga konyagi ndio wanaingia kwenye utafiti..!
 
Me nipo against mtafiti cjui nyie.lkn mm hapana kwakweli.dume zima na midevudevu yangu nimwambie demu kabisa"baby Leo nipo period"!!?hapana kwa kweli.😎😎😎
 
Me nipo against mtafiti cjui nyie.lkn mm hapana kwakweli.dume zima na midevudevu yangu nimwambie demu kabisa"baby Leo nipo period"!!?hapana kwa kweli.[emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mleta mada tuheshimiane tafadhali!!! Patawaka moto humu sasahivi!
 
mtaalamu kasema ila sijui utafiti kafanyia wapi, ila ni maoni yake msongo wa mawazo ni sehemu ya maisha ya mwanadamu pindi mambo yake yasipokaa sawa, maumivu ya tumbo kwa mwanamke huo i ugonjwa hasa kutokana na lishe mbovu aliye na lishe nzuri ambaye katoa sukari na wanga katika sahani yake hawezi pata maumivu wakati wa hedhi
 
Labda wanaume wa Dar na sehemu za pwani kama Tanga na Lindi.
Bila kuwasahau wanaume woote walio CCM
 
Back
Top Bottom