Je wanaume nao ni vichaa..wanamapungufu ya akili?

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,448
Reaction score
7,972
Jamani mtaani unakokaa huwezi ukakosa kukutana na watu wenye ulemavu hasa walemavu wa akili

Kuna wanawake ambao nao ni walemavu wa akili wapo tu hapo mtaani kwako,kulingana na upungufu wa akili walionao ni wachafu,wanakula vyakula vya majalalani na wengine wanatembea viungo vyao vya uzazi vikiwa uchi

Ila cha ajabu pamoja na hali walionao wanazaa na watoto,unamkuta mwanamke kabisa ana kichaa kabisa au ana mapungufu ya akili lakini amezaa na ana mtoto wengine wananyang'anywa na watoto ili wasije wakawaua

Hawa wanawake ukiwafuatilia wamezaa na wanaume wenye akili timamu kabisa

Muwe basi mnachukua watoto wenu

Kwa nini wanaume wasiwe kwenye kundi la vichaa
 
Sawa mm ni kichaa, umefurahi
 
No tena na wanaume tunaokutana nao mchana wamepigilia suti
Asante kwa kutukumbusha.

ingekuwa vizuri zaidi kama ungeenda kwa huyo unaemfahamu anaevaa suti huku mwanae anateseka na kichaa ukamweleza haya.

utakuwa umemsaidia mtoto, mama na jamii yote kwa ujumla.
 
Hii maada ni nzito kuliko tunavyo ijadili

Ukiangalia kwa jicho la tatu unagundua kuwa hao vichaa wana hisia kama wengine na wengine hubakwa na hao wabakaji huwa inaweza kuwa masharti ya uganga na wengine ni tamaa ya mwili

Na ukumbuke wapi hata wanawake wanao tembea na wanaume wenye upungufu wa akili
 
Kama mtu anajiona siyo kichaa ajibu hili swali.

Kuna mende watatu. Wamepandiana kwenda juu.

Mende wa juu anasema kuna mende wawili chini yangu.

Mende wa chini anasema kuna mende wawili juu yangu.

Mende wa katikati anasema hakuna mende juu yangu wala chini yangu.

Kwanini mende wa katikati alisema hivyo?
 
Mmuuuh
 
Toa maana yake
 
Kila binadam ana dakika tano za uchizi
Tuseme hao wanaozaa na vichaa itakuwa wanalisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…