cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,448
- 7,972
Jamani mtaani unakokaa huwezi ukakosa kukutana na watu wenye ulemavu hasa walemavu wa akili
Kuna wanawake ambao nao ni walemavu wa akili wapo tu hapo mtaani kwako,kulingana na upungufu wa akili walionao ni wachafu,wanakula vyakula vya majalalani na wengine wanatembea viungo vyao vya uzazi vikiwa uchi
Ila cha ajabu pamoja na hali walionao wanazaa na watoto,unamkuta mwanamke kabisa ana kichaa kabisa au ana mapungufu ya akili lakini amezaa na ana mtoto wengine wananyang'anywa na watoto ili wasije wakawaua
Hawa wanawake ukiwafuatilia wamezaa na wanaume wenye akili timamu kabisa
Muwe basi mnachukua watoto wenu
Kwa nini wanaume wasiwe kwenye kundi la vichaa