Inatakiwa upewe tuzo ya shabiki Bora mpira wa nyumbani maana mda huo kulikuwa na game ya Al Hilal na Al Nasr game ilikuwa ya moto sana ukiangalia na Ile ya coastal uzalendo ukanishindaNmeangalia mechi ya jana ya Coastal na wale wachovu wa Angola kwakweli hilo kombe bora lifutwe tu
๐๐Sasa azam watumie gharama kuonesha game za team ndogo ndogo za Gambia, Chad, bukinabe na zimbabweNdo naitafuta siioni mkuu
Na ukipatikana mwanaume unachek looser cup unaleftishwa groupHAPANA, naomba mzingatie makubaliano yote tuliyokubaliana katika kikao cha Mwisho cha Wanaume
Narudia, tulikubaliana kuwa mechi ya Shirikisho iangaliwe na Wanawake wakubwa kwa Wadogo na Wavulana ambao hawajapitia jando bado
Naomba tuwe makini katika kunote yale tunayokubaliana katika vikao vyetu.
๐ฎKabisa mkuu...kuangalia looser cup ni wastage of time
๐๐๐ฎ
Ila kufungulia uzi sio wastage of time????Kabisa mkuu...kuangalia looser cup ni wastage of time
Masikini akipata sasa ๐๐๐.Salaam alaikum wakuu
Baada ya kushuhudia soka safi la Caf Champions Ligi mechi Bora sana za kiume ambazo mpinzani anapigwa goli nne. Lakini bado anapambana kuliko makolo nimejikuta najiuliza maswali haya.
Je: ni sahihi Kwa sisi wanaume kukaa kwenye tv/ kwenda uwanjani kutazama mechi za shirikisho?
Mtazamo wangu
Binasfi Kwa saizi kombe la shirikisho( looser cup)