Watu mnaopenda kujitambulisha kama wanaume mara nyingi huwa mna mapungufu makubwa kuitwa wanaume.Salaam alaikum wakuu
Baada ya kushuhudia soka safi la Caf Champions Ligi mechi Bora sana za kiume ambazo mpinzani anapigwa goli nne. Lakini bado anapambana kuliko makolo nimejikuta najiuliza maswali haya.
Je: ni sahihi Kwa sisi wanaume kukaa kwenye tv/ kwenda uwanjani kutazama mechi za shirikisho?
Mtazamo wangu
Binasfi Kwa saizi kombe la shirikisho( looser cup)
Ni sawa na mtu asiye na hela kutamba eti kuwa ana hela.Tajiri huwezi kumsikia akijisifia eti mimi nina hela sana.Ila watu wasio na hela,machawa na wadangaji wako mstari wa mbele kutamba kuwa wana hela.
Mwanaume halisi hawezi kujisifia kuwa yeye ni mwanaume.Uanaume upo hata asipojitamba!