Je wanaume tunaruhusiwa kutazama mechi za shirikisho?

Je wanaume tunaruhusiwa kutazama mechi za shirikisho?

Salaam alaikum wakuu
Baada ya kushuhudia soka safi la Caf Champions Ligi mechi Bora sana za kiume ambazo mpinzani anapigwa goli nne. Lakini bado anapambana kuliko makolo nimejikuta najiuliza maswali haya.

Je: ni sahihi Kwa sisi wanaume kukaa kwenye tv/ kwenda uwanjani kutazama mechi za shirikisho?

Mtazamo wangu
Binasfi Kwa saizi kombe la shirikisho( looser cup)
Angalia sinema zetu
 
Haiwezi kubadili ukweli iwapo miaka yote mlishiriki mashindano hayo mkajisikia wanawake,basi hata cfcl mtaendelea kujisikia mademu tu
At least miaka hiyo upinzani ulikuwa mkali
 
Back
Top Bottom