Je, Wanawake mnaweza Kweli kusahau Wapenzi wenu wa Zamani?

. Uvumulimu unahitajika,
Ni bora kukaa tu single, zaa watoto pembeni, umri ukifika 50+ oa sasa mzee mwezio ili mmalizie uzee.
 
Najiombea nilikubali hili kama wewe...ni ngumu
 
Kusahaulina ni ngumu sana mimi jana nmepigiwa naulizwa tu kujiunga instagram
Aisee, ile misuko suko yote ya zamani tayari umesha sahau ndani ya sekunde moja.
 
Ukitaka kuolewa haya nenda kwa mkemia mkuu, kwani idadi ya wanaume wanao bambikiwa mimba inongezeka kila siku na ndio maana US kuna baadhi ya wanaharakati wa kike wanapinga Paternity test kuwa lazima pindi mtoto anapo zaliwa.
 
Najiombea nilikubali hili kama wewe...ni ngumu
Kumbukumbu inaniambia kuwa ilinichukua miaka mitano kutoa kinyongo na chuki niliyokuwa nayo dhidi yake na nj baada ya kuanza kufunga na kusali nikijitia ninauchungu saaaaanaa😏😏

Semina moja ya Mwakasege ilinibadilisha kila kitu nikaanza kujitafakari tangu tumekutana,aliyoyafanya juu yangu kabla hatujapata watoto na baada ya kuachana.ni nini kigetokea kama tusingeachana?ningekuwa hapa nilipo sasa?narudi pale pale kila kitu kinachotokea maishani kwetu kinakuwa na makusudi.

So take your time utakaa sawa tu😊
 
Ukitaka kuolewa haya nenda kwa mkemia mkuu, kwani idadi ya wanaume wanao bambikiwa mimba inongezeka kila siku na ndio maana US kuna baadhi ya wanaharakati wa kike wanapinga Paternity test kuwa lazima pindi mtoto anapo zaliwa.
Mkuu, hata hao wakemia wakuu nao hawatoi majibu ya ukweli siku hizi, siyo wa kuwaamini kabisa Aise.
 
Kawadanganye wajinga wajinga
 
Hongera sana mkuu, zidi kusali kama ulivyo amua, ili shetani asikuludie tena kwa mara ya pili 🤔.
 
Mda bado ninao kumbe ni mapema sana kidonda bado kibichi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…