Je, Wanawake mnaweza Kweli kusahau Wapenzi wenu wa Zamani?

πŸ˜€πŸ˜€, mimi bado ma EX nawatafuna, nahisi kama nitaoa basi nitampa heshima tu... Ila Ex nitaendelea nao kishkaji..
Ok boss, ila usisahau kuwa circle yako ndo inakupa mke. Usitegemee kupata mke kutoka kwenye circle nje ya mfumo wako wa maisha.

Kama X zako hata wakiolewa wanakutanulia miguu usijiweke kwenye kundi la watu special sana wasiokataliwa kimapenzi, jaribu kutazama mfumo wako wa maisha unakukutanisha na wanawake wa aina gani.
 
Itakuwa una maokoto mkuu
 
Ni kweli mkuu, kuhusu wanawake wanao nizinguka ni wengi sana, kutokana na kazi ninazo fanya za kijamii...
 
Hahahahhahahahahah

-Aisifiaye mvua ujue imemnyea

-Siri ya mtungi aijuaye kata.

-Adhabu ya kaburi aijuaye maiti

Na methali nyingine utaongezea

Ila ni wazi kuwa hawa vijana wa kataa ndoa ni UTAPELI watakuwa wamewahi pigwa na kitu kizito kwenye mahusiano sio bure [emoji23][emoji23]

Nawasilisha Kwa unyenyekevu mkubwa sana
 
πŸ˜€πŸ˜€, sasa Mkuu huoni kama wanakushauri kitu kizuri..
 

Mi sio nabii ila baba watoto atakua yupo vizuri financially
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…