Je, Wanawake mnaweza Kweli kusahau Wapenzi wenu wa Zamani?

Habari, je akiomba asugue kwa juu haingizi, upo tayari?
 
Wewe mwenyewe mwanaume tunayeaminishwa una uwezo mkubwa sana wa akili kiasi cha kuitwa kiongozi umeshindwa kuachana na maEx; sembuse sisi tunaoitwa viumbe dhaifu?
 
Wewe mwenyewe mwanaume tunayeaminishwa una uwezo mkubwa sana wa akili kiasi cha kuitwa kiongozi umeshindwa kuachana na maEx; sembuse sisi tunaoitwa viumbe dhaifu?
. 😟😟, wakati sasa hivi mnataka 50:50, (Binadamu wote sawa)...

. Mmefika mbali zaidi mnatupiga na makofi kabisa. 😐😐.
 
sembuse sisi tunaoitwa viumbe dhaifu?
Nyinyi kawaida maji yakizidi unga si mnafanya biashara ushaona mwanaume anaeuza dudu lake kwa bei nafuu? Ila wanawake wangapi wanauza na unawajua ukianza na Giggy?
 
We nae swali gani hilo na nimeandika kila kitu?

Tatizo la watu wengi humu wanataka kulazimisha vile wawazavyo wao ndicho kiandikwe 😊
😋😋Sisi wabishi kwa sababu, tuomeona nguvu ya EX ipo kama umeme wa Grade ya taifa. Kwa hiyo mtu akisema EX hamtaki tena lazima tujiulize mara mbili tatu..
 
Nyinyi kawaida maji yakizidi unga si mnafanya biashara ushaona mwanaume anaeuza dudu lake kwa bei nafuu? Ila wanawake wangapi wanauza na unawajua ukianza na Giggy?

Wanaume hamuuzi dudu maana sisi wanawake hatuna uhaba wa hizo mambo. Mnauza kitu kingine kabisa ambacho siwezi kusema hapa asije Mama Kizimkazi akasoma nikakosa uteuzi.
 
Wanaume hamuuzi dudu maana sisi wanawake hatuna uhaba wa hizo mambo. Mnauza kitu kingine kabisa ambacho siwezi kusema hapa asije Mama Kizimkazi akasoma nikakosa uteuzi.
Ushawahi kuuziwa hicho kitu kingine? Au unaropoka tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…