Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Ex apewe maua yake😆😆, dahh unaona sasa, Ex alivyo kuwa na nguvu kwenye masuala ya utelezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ex apewe maua yake😆😆, dahh unaona sasa, Ex alivyo kuwa na nguvu kwenye masuala ya utelezi
Haya bhana labda ni hicho kidogo alichokuwaga nacho ndicho akaamua kunigawia na mimi nani ajuaye😁Mi sio nabii ila baba watoto atakua yupo vizuri financially
Haya bhana labda ni hicho kidogo alichokuwaga nacho ndicho akaamua kunigawia na mimi nani ajuaye[emoji16]
Kabisa mkuu[emoji16]kweli, maana kutoa ni moyo.
Habari, je akiomba asugue kwa juu haingizi, upo tayari?Sitoweza msahau baba watoto wangu kwa sababu alinitoa sehemu ambapo hata ndugu zangu wa karibu hawakujua hali niliyokuwa ninapitia😌nilikuwa napitia hali hatarishi na isiyokuwa na mwelekeo wala mwanga.
Hapa nilipo ni kwa sababu yake,mafanikio ninayoyapata japo kidogo mzizi ni yeye kuletwa na Mungu ili anivushe katika mapito.
Anafamilia yake kwa sasa na watoto wengine na upendo uliopo kati yangu,mkewe na Yeye ni ule upendo wa kiMungu👏
Niliahidi sitokuja fanya mchezo wa kipumbavu wa kutoka nae kimapenzi tena.
Kila ninapowaombea vijana wangu pamoja na wazazi wangu basi babawatoto,mkewe na watoto wao lazima wawepo maombini👏
Sio kila Ex ni m’baya au ni lazima mkutane kimwili.Kuna maEx hupanda mbegu njema yenye kumea kila kukicha katika maisha ya mhusika😊
NakaziaHii sheria inabidi ibadilishwe mapema sana, 50:50 ifanye kazi kama walivyo shauri wenyewe wanawake. 😟
Aisee😀😀, mda wowote ukijisikia tu, unatafuna
We nae swali gani hilo na nimeandika kila kitu?Habari, je akiomba asugue kwa juu haingizi, upo tayari?
. 😟😟, wakati sasa hivi mnataka 50:50, (Binadamu wote sawa)...Wewe mwenyewe mwanaume tunayeaminishwa una uwezo mkubwa sana wa akili kiasi cha kuitwa kiongozi umeshindwa kuachana na maEx; sembuse sisi tunaoitwa viumbe dhaifu?
Nyinyi kawaida maji yakizidi unga si mnafanya biashara ushaona mwanaume anaeuza dudu lake kwa bei nafuu? Ila wanawake wangapi wanauza na unawajua ukianza na Giggy?sembuse sisi tunaoitwa viumbe dhaifu?
😋😋Sisi wabishi kwa sababu, tuomeona nguvu ya EX ipo kama umeme wa Grade ya taifa. Kwa hiyo mtu akisema EX hamtaki tena lazima tujiulize mara mbili tatu..We nae swali gani hilo na nimeandika kila kitu?
Tatizo la watu wengi humu wanataka kulazimisha vile wawazavyo wao ndicho kiandikwe 😊
Nyinyi kawaida maji yakizidi unga si mnafanya biashara ushaona mwanaume anaeuza dudu lake kwa bei nafuu? Ila wanawake wangapi wanauza na unawajua ukianza na Giggy?
Ushawahi kuuziwa hicho kitu kingine? Au unaropoka tu?Wanaume hamuuzi dudu maana sisi wanawake hatuna uhaba wa hizo mambo. Mnauza kitu kingine kabisa ambacho siwezi kusema hapa asije Mama Kizimkazi akasoma nikakosa uteuzi.
Ushawahi kuuziwa hicho kitu kingine? Au unaropoka tu?