Je, wanawake wa Sumbawanga wana yapi kwenye mahusiano

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,235
Reaction score
4,252
Ndugu zangu kila kabila lina mazuri na mabaya yake mnaombwa ushauri na kaka yenu kaniomba mimi nikashindwa nimshaurije nimebaki kimya nikaona nilete kwenu nanyi mumshauri

Huyu braza kapata demu wa Sumbawanga anaishi Mbezi na anasimamia Gest ya baba yake sasa akashindwa achukue hatua gani je amkubalie ama lah

Wenye experience na dada zetu wa Sumbawanga tupeni mazuri na mabaya yao tuchambue
 
Tatizo lao ni ulozi! Awe na uhakika wa kuishi ulimwengu mwingine bila yeye kujua!
 
Huyo mwanamke kazaliwa wapi?
Tabia za mabinti zinaathiriwa na alipozaliwa na kukulia na familia yake. Kama kazaliwa na kukulia Dar. Basi anatabia za Dar. Kama kazaliwa huko unaposema, akakua hukohuko, akasoma shule ya msingi na sekondari huko hapo ndipo waweza kuchunguza tabia za kijijini huko. Na kwa ufupi tabia zao ni kuanza mahusiano ktk umri mdogo.
Wasalaam
 
Mabinti wa sumbawanga ni Wana nidhamu sana, wakarimu , wachapakazi sana ni waaminifu kwenye mahusiano, hawana mambo mengi, niliwahi kuishi huko na nilijipatia kabinti kamoja kalikuwa kanaitwa jean , baadae nikaondoka kalinimind sana,
Kuna wale wapimbwe Hawa wanaishi maeneo ya Mpanda Hawa hawana tofauti na wazaramo, wale wa Nkasi , Namanyere , wako vizuri, huko Sumbawanga , maeneo ya vijijini kama vile Kirando , mambwe wako pouwa, zamani sana huu mkoa ulikuwa unaitwa Rukwa, ss umegawanyika na kuitwa Katavi Kuna mwingiliano wa makabila mengi hasa wanyamwezi wasukuma, wakimbizi kutoka Burundi na wanayakusya
Kuhusu uchawi ni jadi yao japo inategemea ukoo na ukoo, ila Kwa ujumla ni wakarimu na watiifu sana, na wavumilivu mno, Kwa upande wa sura na mvuto wengi ni WA kawaida
 
Boss umefafanua vzuri sana
 
Back
Top Bottom