Kwahiyo huyo bibi harusi kwa sasa anaishi Sumbawanga au penginepo?Huyo braza men alinambia alimchunguza asili yake akagundua ni mtu wa Sumbawanga kiasili
Tatizo lao ni ulozi! Awe na uhakika wa kuishi ulimwengu mwingine bila yeye kujua!Ndugu zangu kila kabila lina mazuri na mabaya yake mnaombwa ushauri na kaka yenu kaniomba mimi nikashindwa nimshaurije nimebaki kimya nikaona nilete kwenu nanyi mumshauri
Huyu braza kapata demu wa Sumbawanga anaishi Mbezi na anasimamia Gest ya baba yake sasa akashindwa achukue hatua gani je amkubalie ama lah
Wenye experience na dada zetu wa Sumbawanga tupeni mazuri na mabaya yao tuchambue
Sumbawanga ya sehemu gani, wanatofautiana kulingana na eneoHuyo braza men alinambia alimchunguza asili yake akagundua ni mtu wa Sumbawanga kiasili
Si kweliTatizo lao ni ulozi! Awe na uhakika wa kuishi ulimwengu mwingine bila yeye kujua!
[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]Hawana baya,wakichoka wanajigawa anakupa copy yake unaendelea na shoo yeye kajipumzikia
Boss umefafanua vzuri sanaMabinti wa sumbawanga ni Wana nidhamu sana, wakarimu , wachapakazi sana ni waaminifu kwenye mahusiano, hawana mambo mengi, niliwahi kuishi huko na nilijipatia kabinti kamoja kalikuwa kanaitwa jean , baadae nikaondoka kalinimind sana,
Kuna wale wapimbwe Hawa wanaishi maeneo ya Mpanda Hawa hawana tofauti na wazaramo, wale wa Nkasi , Namanyere , wako vizuri, huko Sumbawanga , maeneo ya vijijini kama vile Kirando , mambwe wako pouwa, zamani sana huu mkoa ulikuwa unaitwa Rukwa, ss umegawanyika na kuitwa Katavi Kuna mwingiliano wa makabila mengi hasa wanyamwezi wasukuma, wakimbizi kutoka Burundi na wanayakusya
Kuhusu uchawi ni jadi yao japo inategemea ukoo na ukoo, ila Kwa ujumla ni wakarimu na watiifu sana, na wavumilivu mno, Kwa upande wa sura na mvuto wengi ni WA kawaida