Distant Relatives
JF-Expert Member
- Nov 21, 2020
- 415
- 731
Habari wadau?
Kwanza naomba ieleweke lengo la hoja hii ni kuelimishana.
Nilikuwa nasikiliza mawaidha ya Sheikh, ambaye bahati mbaya sijaweza mpata jina, akielezea juu ya maisha baada ya kifo. Ujumbe wake ni kuwa wanadamu watii maamrisho ya Mungu, huku wakiahidiwa pepo yenye maisha ya starehe. Pepo hiyo wanaume wanaahidiwa kupewa wanawake bikra 72 (hulain).
Sikumsikia akielezea wanawake watapewa nini.
Swali langu ni kuwa wanawake wameahidiwa pepo ya namna gani? Kipi cha kuwastarehesha walichoahidiwa?