makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Sura al waqia..
35. Hakika Sisi tutawaumba (Mahurulaini) upya,
36. Na tutawafanya vijana
37. Wanapendana na waume zao, hirimu moja
Kuna aya sikumbuki sura gani nayo inazungumzia wanawake, kuwa watakuwa mahurain.
Hivyo kwa mujibu wa aya hiyo hapo, na ile nyingine nimesahau sura gani, wanawake watakaoingia peponi watakuwa ndio mahurain, watafanywa vijana, watakuwa mahurain(warembo kupita kiasi) jambo ambalo hapa duniani linawapeleka puta, kuusaka urembo.
Sisi wanaume tutapewa nguvu na wanawake wengi wazuri, jamvo ambalo linatupeleka puta.
Nao watapewa urembo jambo ambalo linawapeleka puta
Nikiipata na ile nyingine nitaongezea nyama.