Distant Relatives
JF-Expert Member
- Nov 21, 2020
- 415
- 731
Ulivyoandika ni applicable Duniani tu si peponi huko hakuna msamiati kuchoka, kinai nkSasa huyyu Bwana mkubwa akimaliza kuwashughulikia mabikra 72 kazi ambayo sio rahisi especially Kama Ni mtu wa Dar. Hawa mabikra ambao sasa wamekua wanawake wa kawaida sana, anakua mume wao ama inakuwaje?
Ulivyoandika ni applicable Duniani tu si peponi huko hakuna msamiati kuchoka, kinai nk
NdioIla kuna kugegedana..?
Ok. Kwa hiyo wao huko peponi wanatumika kustarehesha wanaume tu?Wameahidiwa kustarehereka kwa mwanamme wakati wao wakiwa 72. Kitabu hakijasema zaidi ya hapo!
Huo ndo ukweli, na si mbinguni hata hapa duniani.Ok. Kwa hiyo wao huko peponi wanatumika kustarehesha wanaume tu?
Pesa za nini wakati huko peponi kila kitu kinatolewa bure na hakuna umaskini huko.Wameahidiwa pesa
na hao wanawake 72 ni wa huku huku duniani au ni special creation?Ulivyoandika ni applicable Duniani tu si peponi huko hakuna msamiati kuchoka, kinai nk
You can't imagine just God give to you is a small picture.
Unamaanisha wanawake wameumbwa kuhudumia mwanaume? Kwa muktadha huo ni kuwa Mungu ni muasisi wa mfumo dume?Huo ndo ukweli, na si mbinguni hata hapa duniani.
umeelewa kilichoandikwa au umekurupuka hao wanawake 72 sio wakutoka Duniani ni wapo hukohuko.Ok. Kwa hiyo wao huko peponi wanatumika kustarehesha wanaume tu?
72 sio wa Duniani na kuhusu kuhaidiwa vipo vingi wewe unachagua kwenye Mapenzi tu maziwa, matunda, ndege nk.na hao wanawake 72 ni wa huku huku duniani au ni special creation?
na swali langu la msingi, wanawake wameahidiwa nini wao baada ya kutenda mema hapa duniani?
Nadhani malipo ya kufunga ramadhani yako wazi, mfano kusamehewa dhambi. Na pia kila kumi lina malipo / faida zake zilizo wazi.Pepo ya wanawake ni siri ya Allah kama ilivyo kwa malipo ya kufunga mwezi mtukufu wa ramadhan