makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
umeelewa kilichoandikwa au umekurupuka hao wanawake 72 sio wakutoka Duniani ni wapo hukohuko.
Mbona watapa upendeleo fulan hv wanaume😀Habari wadau?
Kwanza naomba ieleweke lengo la hoja hii ni kuelimishana.
Nilikuwa nasikiliza mawaidha ya Sheikh, ambaye bahati mbaya sijaweza mpata jina, akielezea juu ya maisha baada ya kifo. Ujumbe wake ni kuwa wanadamu watii maamrisho ya Mungu, huku wakiahidiwa pepo yenye maisha ya starehe. Pepo hiyo wanaume wanaahidiwa kupewa wanawake bikra 72 (hulain).
Sikumsikia akielezea wanawake watapewa nini.
Swali langu ni kuwa wanawake wameahidiwa pepo ya namna gani? Kipi cha kuwastarehesha walichoahidiwa?
Asante kwa authority hii. Imenipa majibu.Sura al waqia..
35. Hakika Sisi tutawaumba (Mahurulaini) upya,
36. Na tutawafanya vijana
37. Wanapendana na waume zao, hirimu moja
Kuna aya sikumbuki sura gani nayo inazungumzia wanawake, kuwa watakuwa mahurain.
Hivyo kwa mujibu wa aya hiyo hapo, na ile nyingine nimesahau sura gani, wanawake watakaoingia peponi watakuwa ndio mahurain, watafanywa vijana, watakuwa mahurain(warembo kupita kiasi) jambo ambalo hapa duniani linawapeleka puta, kuusaka urembo.
Sisi wanaume tutapewa nguvu na wanawake wengi wazuri, jamvo ambalo linatupeleka puta.
Nao watapewa urembo jambo ambalo linawapeleka puta
Nikiipata na ile nyingine nitaongezea nyama.
Kwahyo kulingana na Imani yako uko peponi ndio mtaenda kustarehe ngono na wanawake 72?kingine kipi mlichoahidiwaSura al waqia..
35. Hakika Sisi tutawaumba (Mahurulaini) upya,
36. Na tutawafanya vijana
37. Wanapendana na waume zao, hirimu moja
Kuna aya sikumbuki sura gani nayo inazungumzia wanawake, kuwa watakuwa mahurain.
Hivyo kwa mujibu wa aya hiyo hapo, na ile nyingine nimesahau sura gani, wanawake watakaoingia peponi watakuwa ndio mahurain, watafanywa vijana, watakuwa mahurain(warembo kupita kiasi) jambo ambalo hapa duniani linawapeleka puta, kuusaka urembo.
Sisi wanaume tutapewa nguvu na wanawake wengi wazuri, jamvo ambalo linatupeleka puta.
Nao watapewa urembo jambo ambalo linawapeleka puta
Nikiipata na ile nyingine nitaongezea nyama.
Hadithi za tu hizoMbona watapa upendeleo fulan hv wanaume[emoji3]
KwaniniMbona watapa upendeleo fulan hv wanaume😀
Bikra 72 siyo mzahaKwanini
Just imagine mke mmoja na mchepuko mmoja wanavyokupeleka puta. Sasa 72 wote wako bado michepuko.Kwahyo kulingana na Imani yako uko peponi ndio mtaenda kustarehe ngono na wanawake 72?kingine kipi mlichoahidiwa
Halafu mwanamme wa Dar, Tena Kinondoni, asubuhi andazi mbili, mchana chips jioni tu wali na maharageBikra 72 siyo mzaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Just imagine mke mmoja na mchepuko mmoja wanavyokupeleka puta. Sasa 72 wote wako bado michepuko.
Peponi hakuna misamiati 'kupelekwa puta' tatizo muna imagine akili zenu za Duniani na kukaribu kuFeetisha na huko.Just imagine mke mmoja na mchepuko mmoja wanavyokupeleka puta. Sasa 72 wote wako bado michepuko.
Tatizo unauliza kwa kebehi, ngumu kukujibu, siwezi kujadili nawe, dini ni kitu sensitive mnoo, kwa kutumia mihemko ngumu kujadili.Kwahyo kulingana na Imani yako uko peponi ndio mtaenda kustarehe ngono na wanawake 72?kingine kipi mlichoahidiwa
hadithi za kufikirika tu hizo si kweli
Peponi hakuna misamiati 'kupelekwa puta' tatizo muna imagine akili zenu za Duniani na kukaribu kuFeetisha na huko.
Bc hao wanawake bikra hawapo, wanaume wote watakao kuwepo peponi watawapambania hao na watatosha.?Pesa za nini wakati huko peponi kila kitu kinatolewa bure na hakuna umaskini huko.
Umetafsiri vibaya tu ,mtoa mada alishatoa angalizo hapa hakuna kebehi wala nn tunaheshimu imani za wengineTatizo unauliza kwa kebehi, ngumu kukujibu, siwezi kujadili nawe, dini ni kitu sensitive mnoo, kwa kutumia mihemko ngumu kujadili.
Ndo maana watu wanajilipua kumbe sikujua wanawai mambo mazuri ivi bikra72 sio mchezo kama mungu atakuwa yupo serious isije ikawa mambo kama ya duniani niiteni nami nitawaitikia afu atuoni kituSura al waqia..
35. Hakika Sisi tutawaumba (Mahurulaini) upya,
36. Na tutawafanya vijana
37. Wanapendana na waume zao, hirimu moja
Kuna aya sikumbuki sura gani nayo inazungumzia wanawake, kuwa watakuwa mahurain.
Hivyo kwa mujibu wa aya hiyo hapo, na ile nyingine nimesahau sura gani, wanawake watakaoingia peponi watakuwa ndio mahurain, watafanywa vijana, watakuwa mahurain(warembo kupita kiasi) jambo ambalo hapa duniani linawapeleka puta, kuusaka urembo.
Sisi wanaume tutapewa nguvu na wanawake wengi wazuri, jamvo ambalo linatupeleka puta.
Nao watapewa urembo jambo ambalo linawapeleka puta
Nikiipata na ile nyingine nitaongezea nyama.
Vipi kuhusu mabikira 72 wapo?Nadhani malipo ya kufunga ramadhani yako wazi, mfano kusamehewa dhambi. Na pia kila kumi lina malipo / faida zake zilizo wazi.
Usiri wa pepo umeandikwa kwenye quran/kuhadithiwa au tunaita ni usiri sababu haijaelezwa?