Je, Wanawake Wanapaswa Kufungwa Jela kwa Mashitaka ya Uongo ya Ubakaji?

Gol D Roger

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2023
Posts
2,316
Reaction score
6,082
HabarišŸ–

Nahic kila mtu ameshawahi kuona au kusikia kesi za ubakaji, sometimes ni kweli ilitokea na sometimes haikutokea.

Hapa nazungumzia kesi ambazo mwanaume amekuwa Falsely accused and it was proven, binafsi sijui kwann wanawake huwa wanafanya hivo ila nahic wanakomoa tuu, either anakuchia vibaya sana au amechanganyikiwa.

Una mshtaki mwanaume kwa kosa la ubakaji wakati hana hatia, mwenzako anaenda jela miaka 10 au 20, unamuharibia kazi zake, unamuharibia reputation yake, unamuharibia maisha yake kiujumla, alaf cha kushangaza hawa wanawake wanaofanya hivi mahakama haiwachukulii hatua yeyote kali pale inapogundulikana kwamba mwanaume hana hatia, kwann??

Nimejaribu kufwatilia kesi kadhaa lakini sijaona sehemu ambayo mwanamke amepewa adhabu kali anayostahili, kwann na yeye asifungwe jela miaka hiyohiyo aliyofungwa mwanaume??
Je, "Pole" na "Samahani" na "vijisenti"(settlement) vinatosha kumtuliza mwanaume akasahau muda aliopotezewa alipokuwa jela?? Je, "Pole" na "samahani" na "vijisenti" vinaweza kurudisha heshima yake mtaani iliyoharibiwa na mwanamke?

Man imprisoned for 16 years after being falsely accused of rape is awarded $5.5m

Tears in court as former football star's kidnap-rape conviction dismissed

Louisiana man wrongly convicted of rape released after 29 years in prison

Pia mahakama pia iangalie swala la wanaume kusingiziwa mimba, pale ambapo itakuwa proven kwamba huyo mtoto sio wa baba na kwamba mama wa mtoto amehusika katika huo udanganyifu, inabidi mama wa mtoto amlipe fidia mwanaume ya muda na gharama alizotumia kumlea huyo mtoto hadi umri aliofikia la sivyo, jela imhusu huyo mwanamke.
 
Yan uku magerezan ndo wamejaa kibao wa kusingiziwa mpaka huruma
 
Back
Top Bottom