Hakika Mkuu, kwa mfano Kiongozi wa Ng'ombe ili awe Kiongozi ni lazima Madume mawili yapigane kweli kweli, mpaka kuchubuana ngozi, kutoana damu, kuvunjana pembe hata kutiana ngeu ili kuupata utawala.Halafu kwenye tawala zao hawaongozwi na wajinga
Tunawaita hayawani lakini Nadhani sisi ndio hayawani no 1Ndiyo,ndo maana wanaweza kuendana na mazingira yao,sisi binadamu tunajiona tu bora kwa kujilinganisha na wanyama kumbe huenda nao wanatuchukulia poa tu ila wapo viwango vingine.
Hata SIMBA, fisi chui kiboko, tembo nkHakika Mkuu, kwa mfano Kiongozi wa Ng'ombe ili awe Kiongozi ni lazima Madume mawili yapigane kweli kweli, mpaka kuchubuana ngozi, kutoana damu, kuvunjana pembe hata kutiana ngeu ili kuupata utawala.
Nilikuwa nashuhudia hili wakati nachunga ng'ombe huko Ikungulyabashashi. πππ
Aisee π€Hata SIMBA, fisi chui kiboko, tembo nk