Je, wanyama wana hisia na silika?

Je, wanyama wana hisia na silika?

FB_IMG_1732431002378.jpg
 
Halafu kwenye tawala zao hawaongozwi na wajinga
Hakika Mkuu, kwa mfano Kiongozi wa Ng'ombe ili awe Kiongozi ni lazima Madume mawili yapigane kweli kweli, mpaka kuchubuana ngozi, kutoana damu, kuvunjana pembe hata kutiana ngeu ili kuupata utawala.

Nilikuwa nashuhudia hili wakati nachunga ng'ombe huko Ikungulyabashashi. 😄😄😄
 
Ndiyo,ndo maana wanaweza kuendana na mazingira yao,sisi binadamu tunajiona tu bora kwa kujilinganisha na wanyama kumbe huenda nao wanatuchukulia poa tu ila wapo viwango vingine.
Tunawaita hayawani lakini Nadhani sisi ndio hayawani no 1
 
Hakika Mkuu, kwa mfano Kiongozi wa Ng'ombe ili awe Kiongozi ni lazima Madume mawili yapigane kweli kweli, mpaka kuchubuana ngozi, kutoana damu, kuvunjana pembe hata kutiana ngeu ili kuupata utawala.

Nilikuwa nashuhudia hili wakati nachunga ng'ombe huko Ikungulyabashashi. 😄😄😄
Hata SIMBA, fisi chui kiboko, tembo nk
 
Picha zoote sijaona raia mweusi hata mmoja
Hatunaga mazoea na wanyama kabisa
 
Picha hii ilipigwa na mpiga picha wa Kituruki wakati mbuzi alipojifungua mtoto wake kwenye mlima ulioganda barafu
FB_IMG_1732583210318.jpg
. Ili kuokoa uhai wa mbuzi na mtoto, msichana wa kijiji (mchungaji) alimbeba mama begani na mbwa akamwokoa mbuzi aliyezaliwa kwa kumpanda. Picha hii ni mfano hai wa ubinadamu.
 
Back
Top Bottom