Je, wanyonge tutatoka kwa riba hizi za mabenki?

Davan

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2020
Posts
1,125
Reaction score
1,413
Sitataja jina la benki kwa heshima.

Disemba hii nilienda kutaka mkopo nifanye jambo langu ila nilirudi kichwa chini.

Mkopo = 10.5millions
Makato = 219,400/=
Muda = Miezi 84/miaka 7.

Hali inatisha, mnyonge atanyonywa hadi ngozi.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki BoT.
 
Hujaeleweka 291,400 makato per month kama riba au ni kitu gani, hebu weka vzuri maelezo yako mkuu
 
RIBA YAKE NI 8ML ALMOST KWA MUDAWOTE HUO ITS VERY NORMAL mara nyingi riba huwa ni 21% p/a sasa compounded accumulated inafika kabisa
 
Sasa wewe ulitaka ukae na pesa ya watu MIAKA YOTE 7 halafu urejeshe kiasi gani ????

Chukua mkopo wa muda mfupi.
 
mkuu kakope saccos achana na mabenk manyonya damu hao
 
unataka kaa na hela ya watu miaka saba yako hiyo...panda miti ya mbao baada ya miaka saba angalia thaman yake inavyokua,,watanzania tumezoea lalamika sana
 
Nishawajua hao wanatumia rangi ya kijani...
 
RIBA YAKE NI 8ML ALMOST KWA MUDAWOTE HUO ITS VERY NORMAL mara nyingi riba huwa ni 21% p/a sasa compounded accumulated inafika kabisa
Duh! Kwahiyo maagizo ya BOT hayafuatwi
 
"Biblia inasema yule anayekopa atakuwa mtumwa wa anayemkopesha". Siku hizi watu wanazifanyia kazi benki. Kifupi wamekuwa watumwa wa benki.
Utumwa hauepukiki kwa ulimwengu wa sasa hata nikifungua duka bado nitakuwa mtumwa wa biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…