Je, wanyonge tutatoka kwa riba hizi za mabenki?

Je, wanyonge tutatoka kwa riba hizi za mabenki?

Sitataja jina la benki kwa heshima.
Disemba hii nilienda kutaka mkopo nifanye jambo langu ila nilirudi kichwa chini.

Mkopo = 10.5millions
Makato = 219,400/=
Muda = Miezi 84/miaka 7.

Hali inatisha, mnyonge atanyonywa hadi ngozi.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki BoT.
Ndomaana wengine wanafanya fitina wawe wakuu wa idara angalau unafuu unakuepo
 
Kama lengo la kukopa ni kulipa ada,deni au kununua fenicha umeumia. Lakini kama unawekeza haina shida.
 
Back
Top Bottom