Je, wapi naweza kupata simu za zamani kama Nokia 6300, Exp 3300 nk, Blackberry na Motorola

Je, wapi naweza kupata simu za zamani kama Nokia 6300, Exp 3300 nk, Blackberry na Motorola

Njia ya kwenda msimbazi ukitokea round about ya zamani upandw wa kushoto kuna mhindi anauza ila kwa bei kubwa sanaa, m ninayo hii 6500 slideView attachment 985169
20190103_081958.jpeg
View attachment 985170

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njoo nikuuzie Nokia 3310 original,blackberry curve 8510 na Blackberry Q10 touch screen.
 
Hizo ndio fashen kwa sasa, wanasema old is gold.

Pia kuna watu hobi yao ni kuwa na vitu tofauti (peculiar) ktk jamii. Utofauti huwezi upata kwa kumiliki iPhone au sumsung, bali utaupata kwa kumiliki simu za zamani zaidi.
Cheki ali expresss,utazipata.
 
Back
Top Bottom