Je, wapi naweza kupata simu za zamani kama Nokia 6300, Exp 3300 nk, Blackberry na Motorola

Njoo nikuuzie Nokia 3310 original,blackberry curve 8510 na Blackberry Q10 touch screen.
 
Hizo ndio fashen kwa sasa, wanasema old is gold.

Pia kuna watu hobi yao ni kuwa na vitu tofauti (peculiar) ktk jamii. Utofauti huwezi upata kwa kumiliki iPhone au sumsung, bali utaupata kwa kumiliki simu za zamani zaidi.
Cheki ali expresss,utazipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…