Je wapo Mitume na Manabii walioswali kwenye nyumba takatifu ya Ka’abaa zaidi ya Ibrahimu na Mohamed?

Je wapo Mitume na Manabii walioswali kwenye nyumba takatifu ya Ka’abaa zaidi ya Ibrahimu na Mohamed?

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Je wapo Mitume na Manabii walioswali kwenye nyumba ya Ibada ya Ka’abaa zaidi ya Ibrahimu na Mohamed?

Wadau hamjamboni nyote?

Moderator naomba Uzi huu kwingineko

Kwa mujibu wa maandiko ni Manabii au Mitume wangapi waliowahi kuitumia Ka’abaa au kwa (Bait – ul- Haram) kwa ajili ya Kufanya Ibada - kuswali ukimuondoa Nabii Ibrahimu, Ishmael pamoja na Mtume Mohamed?


Nafahamu nyumba takatifu iliyopo Maka ilijengwa na Nabii Ibrahimuni nguzo muhimu kwa Waislamu duniani kote

Nachopenda kujua ni majina ya Mitume na Manabii walioitumia Kwa ajili ya kumfabyia Mungu wetu ibada


Lugha zisizo na staha hazikubaliki

Karibuni tujadili
 
Nimekaa pale kushuhudia mtanange wa wafia dini kwa matusi na kejeli kedekede.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Back
Top Bottom