Aslay bado sana kushindana na wasafi..
ukitaka kuthibitisha hilo angalia producer aliyetengeneza wimbo wa harmonise ni studio gani na ipo nchi gani na anachaji bei gani..
na angalia video pia amefanya nani na anachaji bei gani..
gharama tu iliyotumika kutengeneza nyimbo za harmonise ni sawa sawa na album nzima ya aslay
wimbo wa harmonise kwa ajili ya soko la africa nzima.. huku wimbo wa aslay kwa ajili ya soko la tanzania tu