Mkuu naona umeamua kuwapa za uso kabisa.Hivi kuna MTU aliyebalehe anasikiliza nyimbo za Esiley?
Aliefunga goli la simbaAslay ni nanii?
haha hahaasio kweli
acha kusema tabia zako
wasanii milion alaf wote wanahit? Ebu kuwa sirias mkuu...wasanii milion sio hapa! hapa ukiambiwa uwataje hata 500 sidhan kama utaweza fikisha!Kwan wewe mkuu inakuzuia nini kusikiliza zote?
Hebu tuwe serious jaman, U. S kuna wasanii zaidi ya milion 1 na wote wanahit tu
Nashangaa sanaHivi kuna MTU aliyebalehe anasikiliza nyimbo za Esiley?