Nandy - sabuni ya kuogea za kunukia zileMleta Uzi wewe umeleta bidhaa gani?
1; Vanessa mdee - Viatu
2; diamond- perfume, media,Karanga
3; Alikiba- mofire
4;mwana Fa-body spray
5;Ay- usafirishaji
6; jux- mavazi
7;majizo-media
MwacheniHahah hapo kwa Ali Kiba imebidi tu nicheke!
Kwa hiyo kwa akili zake anafikiri hiko kinywaji watakaokinunua ni mashabiki zake tu?kazi anayo.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Mashabiki wa yanga huwajui kwa kuropoka hovyo!Umewaza nini mkuu kumsema Haji! [emoji41]
Naomba nijibu hapa, Yeezy ni ya Kanye West anauza kupitia Adidas 🍁 yaani ni affiliates.Kwani ww hujaielewa mbona ipo wazi, usisome title soma content ndio utaielewa vizuri Wasanii kuwa na bidhaa zinazofanana sio kwamba hawana ubunifu, huwezi jua kwani kila mtu ana njia zake za kuwin soko.Hivi nikuulize, yeezy ni ya Kanye West au Adidas? Ukielewa hapa naona ndio utajua Chibu perfume ni ya nani.
They are not entrepreneurs. They lack creativity. So wanaigana tu.Hili ni jambo nalojiuliza, je wasanii wetu hawana au hawawezi kubuni kitu kingine zaidi ya marashi?
Jana Haji Manara amezindua pafyum yake, kuna pafyum ya Diamond, kuna bodyspray ya mwana FA.
Kwa nini wasanii wetu wamekosa ubunifu mwingine?
Alikiba yeye amekuja na uwakala wa kinywaji ila bei ghali sana, yeye anasema hashushi bei na wanaompenda watanunua, yeye akili yake inadhani biashara imejikita kwenye upendo, kwamba msingi mkuu wa biashara ni kupendwa kwake( hili nitalizungumzia siku nyingine).
Mada inaendelea.
mbona hujamtaja Shilole? au unamchukulia poa na biashara yake ya shishi food na shishi pilipili? sa hiv huyo dada mtaji wake umeshafika 40M soon atatikisa 100M,namkubali sana huyo dada hana aibu anaweza sna kuthubutu...hope kuna siku atakuja kua kama Oprah WinfreyMleta Uzi wewe umeleta bidhaa gani?
1; Vanessa mdee - Viatu
2; diamond- perfume, media,Karanga
3; Alikiba- mofire
4;mwana Fa-body spray
5;Ay- usafirishaji
6; jux- mavazi
7;majizo-media
Hili ni jambo nalojiuliza, je wasanii wetu hawana au hawawezi kubuni kitu kingine zaidi ya marashi?
Jana Haji Manara amezindua pafyum yake, kuna pafyum ya Diamond, kuna bodyspray ya mwana FA.
Kwa nini wasanii wetu wamekosa ubunifu mwingine?
Alikiba yeye amekuja na uwakala wa kinywaji ila bei ghali sana, yeye anasema hashushi bei na wanaompenda watanunua, yeye akili yake inadhani biashara imejikita kwenye upendo, kwamba msingi mkuu wa biashara ni kupendwa kwake( hili nitalizungumzia siku nyingine).
Mada inaendelea.
katika wote,huyu ndo naweza kusema amejaribu,she is real entrepreneur na She is creative..hao wengine ni mbwembwe nyiiingi,wanafanya mambo pasipokuangalia internal nd external factors ya hizo biashara zao.mwisho wa siku zinawadodeambona hujamtaja Shilole? au unamchukulia poa na biashara yake ya shishi food na shishi pilipili? sa hiv huyo dada mtaji wake umeshafika 40M soon atatikisa 100M,namkubali sana huyo dada hana aibu anaweza sna kuthubutu...hope kuna siku atakuja kua kama Oprah Winfrey
Kwahiyo Shishi food unataka kuishindanisha na WCB level, wasafi TV. Kweli ujui nini entrepreneur mkuu.katika wote,huyu ndo naweza kusema amejaribu,she is real entrepreneur na She is creative..hao wengine ni mbwembwe nyiiingi,wanafanya mambo pasipokuangalia internal nd external factors ya hizo biashara zao.mwisho wa siku zinawadodea
Kwangu Idea ya mwana FA ni moja kati ya wazo bora sana maana body sprays zina soko sana ila amefanya launch ya kivivu sana kwa maono yangu..katika wote,huyu ndo naweza kusema amejaribu,she is real entrepreneur na She is creative..hao wengine ni mbwembwe nyiiingi,wanafanya mambo pasipokuangalia internal nd external factors ya hizo biashara zao.mwisho wa siku zinawadodea
Ni mentality ya kibongo brother kwamba akianza kufanya mmoja na watakaomfuatia wote wameiga na wanaona mwenzao anafaidi so wanamchukulia kama ana roho ya kuharibu.. bado tunafikiria kijamaa sana na si kibiasharaHiyo kawaida mbona hushangai mbele, wasanii kama wanne wana miliki bidhaa za vilevyi Diddy ana ciroc, Lil Wayne ana Bumbu, Jay Z na Dj khaleed wote nao wana vilevyi.