Je, wasanii wetu hawawezi kubuni kitu kingine nje ya marashi?

Je, wasanii wetu hawawezi kubuni kitu kingine nje ya marashi?

Kwani ww hujaielewa mbona ipo wazi, usisome title soma content ndio utaielewa vizuri Wasanii kuwa na bidhaa zinazofanana sio kwamba hawana ubunifu, huwezi jua kwani kila mtu ana njia zake za kuwin soko.Hivi nikuulize, yeezy ni ya Kanye West au Adidas? Ukielewa hapa naona ndio utajua Chibu perfume ni ya nani.
Naomba nijibu hapa, Yeezy ni ya Kanye West anauza kupitia Adidas 🍁 yaani ni affiliates.
Same kwa Cristiano Ronaldo CR7 ni ya kwake ila ame-affiliate na Nike.
Same kwa PEA⚡ Pierre-Emerick Aubameyang ni yake ila inapitia Nike.
 
Hili ni jambo nalojiuliza, je wasanii wetu hawana au hawawezi kubuni kitu kingine zaidi ya marashi?

Jana Haji Manara amezindua pafyum yake, kuna pafyum ya Diamond, kuna bodyspray ya mwana FA.

Kwa nini wasanii wetu wamekosa ubunifu mwingine?

Alikiba yeye amekuja na uwakala wa kinywaji ila bei ghali sana, yeye anasema hashushi bei na wanaompenda watanunua, yeye akili yake inadhani biashara imejikita kwenye upendo, kwamba msingi mkuu wa biashara ni kupendwa kwake( hili nitalizungumzia siku nyingine).

Mada inaendelea.
They are not entrepreneurs. They lack creativity. So wanaigana tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta Uzi wewe umeleta bidhaa gani?

1; Vanessa mdee - Viatu
2; diamond- perfume, media,Karanga
3; Alikiba- mofire
4;mwana Fa-body spray
5;Ay- usafirishaji
6; jux- mavazi
7;majizo-media
mbona hujamtaja Shilole? au unamchukulia poa na biashara yake ya shishi food na shishi pilipili? sa hiv huyo dada mtaji wake umeshafika 40M soon atatikisa 100M,namkubali sana huyo dada hana aibu anaweza sna kuthubutu...hope kuna siku atakuja kua kama Oprah Winfrey
 
Hili ni jambo nalojiuliza, je wasanii wetu hawana au hawawezi kubuni kitu kingine zaidi ya marashi?

Jana Haji Manara amezindua pafyum yake, kuna pafyum ya Diamond, kuna bodyspray ya mwana FA.

Kwa nini wasanii wetu wamekosa ubunifu mwingine?

Alikiba yeye amekuja na uwakala wa kinywaji ila bei ghali sana, yeye anasema hashushi bei na wanaompenda watanunua, yeye akili yake inadhani biashara imejikita kwenye upendo, kwamba msingi mkuu wa biashara ni kupendwa kwake( hili nitalizungumzia siku nyingine).

Mada inaendelea.

Hahaaha...

Labda ndo masharti ya kiganga.
Nasubiri part two ya Kiba.
 
Haji manara siyo msanii, then kwa vinywaji buku 5 wala siyo kubwa so huo uzi ulosema utakuja nao ungewachemshia watoto wanywee chai2.
 
mbona hujamtaja Shilole? au unamchukulia poa na biashara yake ya shishi food na shishi pilipili? sa hiv huyo dada mtaji wake umeshafika 40M soon atatikisa 100M,namkubali sana huyo dada hana aibu anaweza sna kuthubutu...hope kuna siku atakuja kua kama Oprah Winfrey
katika wote,huyu ndo naweza kusema amejaribu,she is real entrepreneur na She is creative..hao wengine ni mbwembwe nyiiingi,wanafanya mambo pasipokuangalia internal nd external factors ya hizo biashara zao.mwisho wa siku zinawadodea
 
Alikiba anatakiwa apunguze bei 3000 ni nyingi hapo ni kwa dar tu bado mikoani. Au kuna watu fulani anawalenga ndii wanunue
 
katika wote,huyu ndo naweza kusema amejaribu,she is real entrepreneur na She is creative..hao wengine ni mbwembwe nyiiingi,wanafanya mambo pasipokuangalia internal nd external factors ya hizo biashara zao.mwisho wa siku zinawadodea
Kwahiyo Shishi food unataka kuishindanisha na WCB level, wasafi TV. Kweli ujui nini entrepreneur mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
katika wote,huyu ndo naweza kusema amejaribu,she is real entrepreneur na She is creative..hao wengine ni mbwembwe nyiiingi,wanafanya mambo pasipokuangalia internal nd external factors ya hizo biashara zao.mwisho wa siku zinawadodea
Kwangu Idea ya mwana FA ni moja kati ya wazo bora sana maana body sprays zina soko sana ila amefanya launch ya kivivu sana kwa maono yangu..

Ukiangalia jinsi anavyoipromote hata katika social media zake bado imekaa kikawaida sana na haina tofauti sana na bidhaa za wasanii wenzie zilizoshindwa sokoni. Potential bado ipo lakini ..
Shishy yupo vizuri tu ila sijui kama amepata washauri wa jinsi ya kuikuza biashara yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo kawaida mbona hushangai mbele, wasanii kama wanne wana miliki bidhaa za vilevyi Diddy ana ciroc, Lil Wayne ana Bumbu, Jay Z na Dj khaleed wote nao wana vilevyi.
Ni mentality ya kibongo brother kwamba akianza kufanya mmoja na watakaomfuatia wote wameiga na wanaona mwenzao anafaidi so wanamchukulia kama ana roho ya kuharibu.. bado tunafikiria kijamaa sana na si kibiashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila Manara ametisha sana kutumia brand yake aliyojiwekea ndani ya simba kufanya biashara. Labda alipopoteza ni hapo kwenye manukato kwamba haikuwa good business idea. Ila amejiongeza vizuri sana.

Hadi jamaa yenu nimemuona siku ya uzinduzi #Le Mutuzi Nation huenda akawa wakala kupitia ile blog yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom