Je, wasanii wetu hawawezi kubuni kitu kingine nje ya marashi?

Usikariri mkuu. Biashara za wasanii wengi au watu maarufu bongo ni saluni, car wash, maduka ya nguo, pub, migahawa ya vyakula na studio za kurekodi. Haya marashi yameanza juzi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

hule msemo wa "msafara wa mamba na kenge wapo" bado uja ukumbuka
wabongo wengi sio wathubutu kwenye jambo jipya wao wanataka wafanye kwenye jambo ambalo mtu kajaribu likafanikiwa na usipo fanikiwa wanaanza kuongea maneno ya ajabu.
mfano kuna jamaa mmoja macjuice pale sinza alipofungua na kujitangaza tu.kila mtu anafungua utazani vibanda vya mpesa.sio mbaya bali umekuja na mabadiliko gani katika soko na jambo gani likawa tofauti
 
Makjuice hakuanza yeye TZ ila kwamba maarufu tu, juice point zilikuwepo kibao mkuu. then duniani hakuna kitu kipya tunaiga kutoka nje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta Uzi wewe umeleta bidhaa gani?


1; Vanessa mdee - Viatu
2; diamond- perfume, media,Karanga
3; Alikiba- mofire
4;mwana Fa-body spray
5;Ay- usafirishaji
6; jux- mavazi
7;majizo-media
AY anasafirisha nini?
 
Kwahiyo Shishi food unataka kuishindanisha na WCB level, wasafi TV. Kweli ujui nini entrepreneur mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
sasa hao sijui wasafi wamekuja na nin kipya cha kuwatofautisha na akina clouds media?
angalia idea ya shishi food imetarget watu wa namna gani na amewezaje kujitofautisha na competitors wake aliowakuta kwenye hiyo industry.biashara ni ubunifu na sio kucopy na kupaste...
 
kwa kelele zile za manara na kushinda kwenye media nilijua anakuza brand yake na sio unazi wa timu sasa ukweli umeonekana...muda si mrefu atatupiwa virago simba
 
Mkuu huo mtaji alifikisha 40m umeona wapi au unafanyakazi bank
 
Hapo kwenye kuchanganya biashara na upendo uko sahihi, havina mahusiano....
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee nimemjibu uyo aliyesema mjasi wa kweli shishi sikweli Diamond no zaidi ya mjasi na ujasiliamari all about profit nakufika mbali kesho yako tunaangalia project yako IPO solid kiasi gani inawatu wangapi kwenye circle nakuwafikia wangapi unaamini hapa naandika post hii huku nasikipiza product ya WCB sasa kuzungunza shishi food disaini kama huoni WCB LEBEL ni utoto, Luna mmja hapo juu eti anasema Shishi food inakimbizia 50 million now nakwenda juu sasa kwa takwimu hizo kweli ni utoto kuweka juu Shishi food WCB solid platform.

Pili unazungumzia WCB inafanana na clouds kwenye nini yofautisha WCB na Wasafi TV nivitu viwili tofauti mkuu then hata ukizungumzia Wasafi TV haiwezi kuwa sawa Wasafi TV inafanya vizuri online na imewekeza sana huwo upande.

Ukisema kufanana Shishi anautofauti gani na migahawa mingine ongea fact sio unaandika tu faza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…